nakumbuka nilikua na ringi langu la baiskeli na fimbo mfano wa bakora ya polisi...ringi langu nilikua nalipark ndani kama bmw, vogue au cayene flani hivi
hahahaha halafu kuna yale majonjo unainyanyua unaiendesha hewani tairi linazunguka weeeeeee?ee bhana tulikuwa creativehahah kwa manjonjo unakua unadrive kwa kupeleka kamba kushoto<-->kulia, then unaweza inyanyua kidogo
weweeeeee,inaitwa changanya,,,hizo enzi 1981,,,1987,,kule ngulu kwakoa,wilayani mwanga kilimanjaro,,,,,inapigwa toka kiverenge hadi mabashula kwendakula ,,mkongea,,manyata,kw varisingi,,,yaan it was good time,,nchi ni green chakula tele,,mito inatiriika maji hata kiboghosho na machakinda na kivisin nyuma ya kandaru,,,,,halafu kuna ile ringi ya tairi si hii ya chuma,ile ya mpira halafu unafungia kwenye kijiti na kamba
chukua like mia,,yaanhahah kwa manjonjo unakua unadrive kwa kupeleka kamba kushoto<-->kulia, then unaweza inyanyua kidogo
umeniongezea uhai,,nimecheka nimewakumbuka,hata marafiki wa enzi hizo,,,yaaanhahahaha halafu kuna yale majonjo unainyanyua unaiendesha hewani tairi linazunguka weeeeeee?ee bhana tulikuwa creative
hahah kwa manjonjo unakua unadrive kwa kupeleka kamba kushoto<-->kulia, then unaweza inyanyua kidogo