Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

454717_110316131445_IMG_0034.JPG
kumbe tumekopi badge
 
Nyerere hakupenda nchi yetu itumike kama soko la bidhaa za nchi nyingine. Hii ni sababu mojawapo iliyofanya viongozi wa Kenya wamchukie Nyerere kwa vile Kenya ilishakuwa na viwanda vingi na ilikuwa inaitumia Tanzania kama soko lake. Kutokana na kutopenda hali hiyo ya kutumiwa kama soko la nje, Nyerere alisisitiza ujenzi wa viwanda kwa kasi sana. Karibu kila mkoa ulipangiwa kiwanda cha aina fulani angalau kimoja ingawa mkoa wa Morogoro na Dar-es Salaama walijipatia viwanda vingi zaidi.

Tangu Nyerere aondoke madarakani, sijasikia tena msisitizo wa nchi kujijenga kiviwanda. Ninachoona ni nchi kuuza viwanda vyetu na kujifungua kuwa soko la nje; hatuna cha kwetu tena. Nchi tunazosikia zinakuja juu kiuchumi, kama vile China na India, zinafanya hivyo siyo kwa sababu wao ni masoko ya nje, bali ni kwa sababau wanazalisha bidhaa wanazouza nje kutoka viwandani mwao. Kwenye picha hii hapa Nyerere anaonekana akiweka jiwe la msingi wakati wa ujenzi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki.

attachment.php
Mkuu kama bado upo hai...pitia tena uzi wako kisha unipe mrejesho!...miaka kumi mbele!
 
Mwalimu,

Je kunauwezekano kuwa kuvuruga kwa maendeleo kiduchu tuliyokuwa nayo yalitokana na woga wa nchi zilizoendelea kuwa tukiachiwa huru tukajitutumua kwa udhaifu wa uchumi wetu lakini tukiwa na msimamo, tungekuwa mfano wa kuigwa na hivyo kuvunja nguvu za kuwa Taifa tegemezi?

Je Mwinyi, Mkapa na hata Kikwete sasa hivi wamepumbazwa kabisa kwa nyimbo nzuri za globalization na free market economy bila kujua athari zake kwa uchanga wa Taifa kama letu ambalo bado halijawa na Wananchi wazawa wenye uwezo wa kuzalisha na kumiliki misingi na njia za uchumi?
Kila zamana kitabu chake na tunaokisoma kitabu husika ndiyo tunaoweza kuona athari za zama pita husika...nimepitia hapa miaka kumi mbele!(2008-2018)
 
wazee sarakikya na wenzanke waliondolewa jeshini kwa majuingu...........baada ya maasi ya mwaka 1964....sarakikya alipewa ubrigedia na ukuu wa majeshi ..kilichotokea baada ya hapo kulianza kutokea chuki baina ya askari wasomi .....na maafisa ambao hawakuwa na formal education....enzi hizo maafisa wenye degree walikuwa wanafika kumi....maneno yalipelekwa kwa mwalimu na maafisa wengine kuwa hawa wasomi wakiongozwa na sarakikya ,walikuwa wanapanga mapinduzi................na hicho ndicho kisa cha wasomi kama ....sarakikya,KAVANA,nyarenda,mushi,chuwa,na wengine the like waliondolewa jeshini kwa pamoja na kusambazwa kwenye mashirika ya umma..au kwenye kazi za kitaaluma walizosomea.......

Baadaye sarakikya alikuja kukumbukwa na mkapa ...nadhani alikuta records...kuwa aliondolewa jeshini kienyeji na alikuwa hajaagwa rasmi ..na kupewa mafao..so wakati wa miaka 40 ya jeshi ..alimsurprise kwa kumvika ujenerali .....na kuagiza aagwe rasmi kijeshi...na kupewa mafao stahili...you can t imagine that day sarakikya hakuamini na alitokwa machozi.......that was another side of nyerere of course and his haters......

Hata juzi nyirenda alipokuwa anaumwa walimuadress kama brigedia general.....nikawa najiuliza walimpa lini......maana treatment aliyokuwa akipewa haikuwa na hadhi ya bregadia general..ambao matibabu yao huwa handled na jeshi hata kama wamestaafu...kwani to the surprise of many nyirenda aliuugulia pale ...heart inst...kwa gharama za familia..hadi waandishi walipohoji stahili zake..ndipo serikali ikajipeleka kumuahamishia muhimbili..then india........he was supposed to be at the first grade millitary ward at lugalo ..before taken to india ..in first.......

BAADA ya hapo jeshi lilianza kuongozwa na wakuu wenye elimu za kijeshi zaidi ya za kiraia....twalipo,musuguri,kiaro....hadi alipoingia mboma ..ambaye alianza kurudisha rika la wakuu wasomi waliomfuatia ...kama waitara,na mwamunyange.....siku hizi hizia ya jeshi kuongozwa na wakuu wenye elimu ndogo ya kiraia ..imekwisha ...kwani hata front runners wengi wa U CDF au majenerali wengi kuanzia nyota moja hadi mbili ni graduates....

Nadhani wanaojua ili sakata la hawa wasomi wa mwanzo jeshini watakuja weka mambo sawa.....
Shikamoo!
 
Asante sana kwa post nzuri hii. Sidhani kama huyu Maganga alikuwa na akili timamu wakati anashiriki kwenye njama zile. Anapodai kuwa ule mgogoro wa Uganda ungetatuliwa kwa njia za kidiplomasia bila kupigana vita anakuwa too theoretical.
alikuwa sahihi perhaps!
 
Mkuu kama bado upo hai...pitia tena uzi wako kisha unipe mrejesho!...miaka kumi mbele!
Nipo hai ninadunda sana na wala usiniltafutie uchuro kwa swali hilo. Kuhusu viwanda naona sasa kweli nchi imeanza kujitambua kuwa haiwezi kuwa taifa imara ikiwa ni soko la nchi za nje tu. Kumekuwapo na kasi ya viwanda tena kama zamani.
 
Tanzanite ilitambuliwa (identified) kwa mara ya kwanza na Ian McCloud mtaalamu wa jiolojia wa Tanzania huko dodoma, mwaka 1967. Je ulikuwa unajua jina lilitolewa na Tiffany and company? "...Hyman Saul (aliyepata madini hayo Arusha) showed two facetted samples to Henry Platt of Tiffany and Company, who immediately appreciated the beauty of the gem and subsequently coined the name "tanzanite", an obvious allusion to its country of origin".

Chini ni picha ya dili la kwanza la madini hayo
View attachment 2221

Na hii hapa ni risiti ya Mauzo ya Manuel de Souza, the discoverer of the tanzanite.
View attachment 2222
Utaona katika hati hii anaitabulisha Tanzanite kama dumortierite kumbe ni zoisite , kama ilivyotambuliwa baadae. Yaani jamaa alipewa shs. 100. Kwa wachumi hii ni kama shilingi ngapi sasa hivi?

Hii hapa ni story kumhusu Manuel de Souza,aliyegundua (siye aliyeitambua) Tanzanite.

"... De Souza was a tailor in Arusha whose family originated from Goa, formerly part of Portuguese India. In Tanzania, he earned his living by making uniforms for the army but he had the "prospecting bug" and all his spare time and money were spent in looking for minerals. His passion probably started with gold-panning in western Tanzania, but in short order he realized what all East African prospectors come to understand, namely, that the countryside hides a rich and unexpected stock of mineral wealth. Gold is not all that to be found. There are many surprises and the biggest occurred when de Souza discovered what was to become the world's only tanzanite mining region.

A problem which caused much confusion but little harm was that Manuel had no idea what it was that he had discovered. Further, "zoisite" was the very last mineral name that would have come to mind because of the widespread belief in East Africa that zoisite had to be bright green as at Longido, somewhat further to the north in Tanzania. In truth, zoisite is usually gray, dirty white or dull greenish or brown… "rock colored". But in Tanzania, a bright green non-gem (opaque) variety with traces of chromium was known far and wide. (In Lexviken, Norway, by contrast, where a non-gem variety colored by traces of manganese is known, people are likely to associate zoisite with the color pink, "manganese pink".)

But Manuel and his family found themselves with a splendid blue-purple-"salmon" colored transparent gemstone. What was it? The question was important to him because he had to register his mining claim at the government Mines & Geology Department and to do so, he needed a mineral name, even a provisional name. In short order, he came up with the incorrect identification "olivine" and as other prospectors pegged the surrounding countryside around his original discovery site, they came up with other incorrect names "cordierite", "epidote", "dumortierite", etc. Not long afterwards one of the Tanzanian government geologists came up with the correct identification of "zoisite", though many people continued to harbor doubts until confirmations cam in from Harvard, the British Museum and Heidelberg.

Thus it came about that other people had registered mining claims for the mineral "zoisite" before Manuel de Souza himself got around to changing the name on his original claim registration. During this period another name became popular, a lovely name whose disappearance we regret. This was "Skaiblu", a Swahili-language borrowing of the English "Sky Blue".

Zoisite, Tanzanite or Skaiblu, this is a lovely stone.
Kwanini mzee Jumanne Ngoma akapewa nishani ya uvumbuzi then?
 
Kwanini mzee Jumanne Ngoma akapewa nishani ya uvumbuzi then?

Hii ni kama hadithi ya almasi kule Mwadui. Msukuma ndiye mvumbuzi lakini hiyo ikahama ikaenda kwa George Williamson.Ila siujui ukweli wa Tanzanite zaidi ya yule Mzee wa Mererani..
 
Sote tunajifunza Kiingereza na sote aghalabu hukosea "spelling" za lugha isiyo ya mama tunayoizungumza. Ni Bryceson na huyu bwana alikuwa anaongea Kiswahili vizuri sana. Alikuwa akifanya kampeni zake za Ubunge wa Kinondoni kwa Kiswahili tu. Zaidi ya yote alikuwa mlemavu wa miguu lakini aliweza kutembea. Watu walimpenda sana Bryceson. Tulikuwa na watu waliokuwa na ulemavu walisikia vizuri ukiwaita "Bryceson." RIP Derek Bryceson. Mwalimu Nyerere alimpenda sana Bryceson.
 
Safi sana Bryson
 
Mimi leo namkumbuka Baba wa Taifa, mwl. J.K. Nyerere akituasa juu ya kutofanya masihara na Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar. Alisema dhambi ya kuua Muungani haiwezi kukuacha salama awe ameuua Mtanzania Bara ama Mtanzania Visiwani, dhambi hiyo haitamuacha salama.
Maneno haya yanaelekea 'kuwatafuna' Wamarekani wa California ambao wanataka kujitenga na muungano wa majimbo ya Marekani. Nisikumalizie uhondo fuatilia habari hii hapa chini
====
Supporters of a long-running effort to see California secede from the United States have revamped their plans to include the creation of an “autonomous Native American nation,” which would encompass almost half of the new state.
‘Calexit’ supporters were given the go-ahead in April this year to begin collecting signatures to get the question of Californian independence on a special 2021 ballot. It will be no easy task, however, because supporters will need to collect 365,880 signatures in order to see the question put to a statewide vote.
Instead of simply seceding from the US, however, the new plans for Calexit involve creating a special Native American “autonomous nation” within the new independent state, creating a “buffer zone between between Donald Trump’s America and the new independent California Republic,” according to Yes California co-founder Marcus Ruiz Evans

‘Buffer zone’ for independent California: New Calexit plan would give Native Americans half of state
 
Tujitegemee,
Lakini Zanzibar na Tanganyika zikuwapo kwa karne bila shida yeyote
na hapakuwa na muungano wowote.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom