Tukitaka kuangamia vibaya Wz’bar nikuendelea na mjadala wa mswada wa katiba bila ya Tanganyika

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Tukitaka kuangamia vibaya Wz’bar nikuendelea na mjadala wa mswada wa katiba bila ya Tanganyika na kero za Muungano kujadiliwa wazi.

Written by mkulima // 10/04/2011 // Habari // No comments

Ikiwa Wazanzibar tunataka kuwafanya Wtanganyika wapige hatua 50 mpele nikudandia gari lisilo tuhusu lenyekwenda kwa kasi na kuacha mambo yetu muhimu yalio tukabili Wazanzibar kuwekwa wazi na bayana.
Katika ufuatiliaji wetu wote wa mchakato mzima wa Muungano nje na ndani ya Zanzibar kwa kushirikiana na watalamu wa zuri wa sheria wa njee Muungano tulionao hauna vigezo wala uchahidi wakusema hapa tulipofika tuendelee tena na Muungano.
Kwanza Hakuna mkataba wowote wa kimataifa uliosipitisha kuwa viongozi wa Zanzibar walishirikishwa kusign mkataba wa kimataifa kuhusu nchi mbili kungana tukiashilia hata wananchi wenyewe kutokushirikishwa hata Rais Mh Abedi Amani Karume na Mwanasheria wake Mh Dorado, na kama upo basi haraka watuonyeshe aukutufahamisha kuweko ktk maktaba yetu ya ofisi ya Mwana Sheria wa Zanzibar.
Katika barua ya hivi karibuni alio andikiw Secretary General of United Nations Ban Kin Moon kuhusu mshakato mzima wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa jee ulishirikisha upande moja wa Muungano kukubali Muungano huo na kuwa na kumbukumbu za nyaraka ktk office yake za sign za Viongozi wa Zanzibar na Barua ya Kufuta kiti chake cha Un Zanzibar? jibu hakuna kumbukumbu hizo.
Bali kuna barua na sign za upande moja tu wa Muungano walizo sign, kwa hio Wzanzibar tunahaki ya kudai haki zetu na kuvunja Muungano kwa lengo lakuwa wenzetu wa Serekali ya Tanganyika walifanya forgery ya hali ya juu kuhusu mkataba wa kimataifa kuhusu Muungano.
Ndio ukaona kuna siri kubwa sana ndani ya Serekali ya ccm/Tanganyika wanaifisha ili isijulikana na kuekewa sheria kuwa kujadili Muungano ni kesi ya uhaini, na ukaona upande wa Zanzibar hakuna mkataba wa Muungano na bada ya Muungano kufanyika tu, kipindi kifupi Bunge la Tanganyika lilikaa pamoja wakiongwaza na Juliasi Nyerere kuvunja jina la Mshirika wa Muungano Tanganyika na Katiba ya Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania.
Hii ilikuwa nikuipiku Zanzibar kwa lengo lakurudisha ukoloni wa kutawaliwa Zanzibar na kumezwa ktk Tumbo la Tanganyika yenye kujiita Tanzania kutokana na udogo wa nchi ya Zanzibar na Wananchi wake.
Kwa hio Wzanzibar tukikubali kusambaratishwa na kugaiwa kwa itikadi za chama,jisia,Upemba na Unguja basi Wajanja wanaweza kulipoteza taifa la watu wa Zanzibar na tukaingizwa ktk tumbo la Tanganyika ijitayo Tanzania kuwa Mkoa wa Watu wa Pwani.
Hivi ndio njama zinazopangwa na wenzetu wa Tanganyika wanapokuwa pamoja kwa maslahi yao na hutafutwa Wzanzibar Zaifu wenye ushu wa madaraka kuwatumilia ili wawe ni REMOTE yao waishezeshe watakavyo.
Muhimu tuitisheni kura haraka ya maoni tuvunje Muungano kabla hatuja asirika sisi na vizazi vyetu vya badae? tunaweza kutako katika BED tukenda ktk WARST ikawa hali nimbaya sana kwa Zanzibar. tukane mswada wakatiba na tuashe kupoteza muda wetu na nguvu zetu kujadili kitu kisicho na faida yoyote kwa jamii yetu ya ki-Zanzibar.
Tukifanya hivyo ndio kujiparia makaa wenyewe na kumezwa na matapeli wa Tanganyika kwa jina la Muungano fake. Huo mswada hata urudiswe urekebishwe vipi basi hawa watu lengo lao ni kuimeza Zanzibar kwa kishingizio cha Watu wake ni kidogo, sasa tuna sababu gani zakubakia ktk Muungano huu?
Muungano huu hauna hata usibiticho wa kimataifa vipi sisi tuweze kuukubali? kuendelea nao nikujinyonga wenyewe na kusudi haiambiwi pole? wewe angalia tu ktk mswada wakatiba umekwenda vile vile kimizengwe kama walivyo iua Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania, nikujikushanya wenyewe na kuamua lipi tufanye na lipi tusifanye ili waweze kutuburuza? nilazima Wzanzibar tushtuke na tuitishe haraka kura ya maoni kuvunja Muungano na sio kuvunja tu?.
Nilazima tupeleke kesi Umoja wa Mataifa kuwa wamefanya forgery Tanganyika ktk hati muhimu za Serekali historia ya Zanzibar itakuwepo milele na milele lakini kama hatukujikaza Wzanzibar kizazi cha Zanzibar kinaweza kupotezwa na historia ikaanguka katika watu wasio husika na historia hio.
Hawa walijaribu kufuta ramani ya Zanzibar ktk map ya ulimwengu na kujaribu kutusomesha maskulini historia ilokuwa sio yetu ya vita vya wahehe,wamanyema na kuashwa kusomeshwa historia yetu ambayo n muhimu kwa kizazi shetu.
Wzanzibar kuna haja ya kura ya maoni haraka kuhusu Muungano,tudai hii haki yetu kwa nguvu zetu zote nikuwasindikiza wawakilishi wetu,Wabunge,Mashehe wetu na jamii zetu zote na ikiwa kuna kiongozi anapinga hili tumtenge na iwe ni tamu yake ya mwisho kumchagua na tuonyeshe hasira zetu popote pale kuhusu kupinga Muungano huu fake kuwa hatuutaki na tuchore na kupaka makopo ya rangi kila kona ya Zanzibar kuukataa Muungano na hii wanaitumia sana ya kupaka marangi hata wenzetu wa Nother-Ireland kupinga kutawaliwa na Waengereza na wenzetu hawa wamekaa vibaya kutumeza. Mungu kibariki kizazi shetu.
Wz'bar kiti kiko wazi tukishavunja Muungano sio wageni wa Un.

[caption id="attachment_29802" align="alignnone" width="300" caption="Kura ya Maoni kuhusu Muungano inahitajika haraka kwa Wzanzibar kujigomboa"] [/caption]
 
Kwa ulichoandika ni vyema tukauangalia upya Muungano. Naona aibu kusema wewe ni mtanzania mwenzangu. Ni heri kila mtu awe na nchi yake. Na kama kuna ambao wanakusikiliza na kukuona wewe ni msomi basi hiyo historia ya Zanzibar itapotea kwa haraka zaidi.

Kama Raisi mliemchagua wenyewe na Makamu wake na Mawaziri wenu wote, na unaowaita wasomi hawajaona kuhusu 'forgery' kwa miaka 47 mpaka wewe uje uandike huku JF basi utakuwa ni u-TOHO wa hali ya juu.

Sasa kama kuna forgery kura ya maoni ya nini? Kuna haja gani ya kuwauliza wananchi badala ya kuamua kuchukua hatua? Kama Zanzibar haikusign then hakuna Muungano. Huwezi kuvunja kitu ambacho hakipo.

Acha porojo na kuandika hoja za ajabu. Kama suala ni Muungano kutokuwa na faida kwa Wazanzibari hiyo ni hoja na inajadilika. Ni haki yenu kujadili na kuamua na sio lazima kueneza chuki kwa kutumia maneno ya kipuuzi ya kutawaliwa, kuonewa nk. Inawezekana kabisa kuuvunja 'muungano' kwa amani bila kueneza chuki na propaganda za kipumbavu.
 
Tukitaka kuangamia vibaya Wz'bar nikuendelea na mjadala wa mswada wa katiba bila ya Tanganyika na kero za Muungano kujadiliwa wazi.

Written by mkulima // 10/04/2011 // Habari // No comments

Ikiwa Wazanzibar tunataka kuwafanya Wtanganyika wapige hatua 50 mpele nikudandia gari lisilo tuhusu lenyekwenda kwa kasi na kuacha mambo yetu muhimu yalio tukabili Wazanzibar kuwekwa wazi na bayana.
Katika ufuatiliaji wetu wote wa mchakato mzima wa Muungano nje na ndani ya Zanzibar kwa kushirikiana na watalamu wa zuri wa sheria wa njee Muungano tulionao hauna vigezo wala uchahidi wakusema hapa tulipofika tuendelee tena na Muungano.
Kwanza Hakuna mkataba wowote wa kimataifa uliosipitisha kuwa viongozi wa Zanzibar walishirikishwa kusign mkataba wa kimataifa kuhusu nchi mbili kungana tukiashilia hata wananchi wenyewe kutokushirikishwa hata Rais Mh Abedi Amani Karume na Mwanasheria wake Mh Dorado, na kama upo basi haraka watuonyeshe aukutufahamisha kuweko ktk maktaba yetu ya ofisi ya Mwana Sheria wa Zanzibar.
Katika barua ya hivi karibuni alio andikiw Secretary General of United Nations Ban Kin Moon kuhusu mshakato mzima wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa jee ulishirikisha upande moja wa Muungano kukubali Muungano huo na kuwa na kumbukumbu za nyaraka ktk office yake za sign za Viongozi wa Zanzibar na Barua ya Kufuta kiti chake cha Un Zanzibar? jibu hakuna kumbukumbu hizo.
Bali kuna barua na sign za upande moja tu wa Muungano walizo sign, kwa hio Wzanzibar tunahaki ya kudai haki zetu na kuvunja Muungano kwa lengo lakuwa wenzetu wa Serekali ya Tanganyika walifanya forgery ya hali ya juu kuhusu mkataba wa kimataifa kuhusu Muungano.
Ndio ukaona kuna siri kubwa sana ndani ya Serekali ya ccm/Tanganyika wanaifisha ili isijulikana na kuekewa sheria kuwa kujadili Muungano ni kesi ya uhaini, na ukaona upande wa Zanzibar hakuna mkataba wa Muungano na bada ya Muungano kufanyika tu, kipindi kifupi Bunge la Tanganyika lilikaa pamoja wakiongwaza na Juliasi Nyerere kuvunja jina la Mshirika wa Muungano Tanganyika na Katiba ya Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania.
Hii ilikuwa nikuipiku Zanzibar kwa lengo lakurudisha ukoloni wa kutawaliwa Zanzibar na kumezwa ktk Tumbo la Tanganyika yenye kujiita Tanzania kutokana na udogo wa nchi ya Zanzibar na Wananchi wake.
Kwa hio Wzanzibar tukikubali kusambaratishwa na kugaiwa kwa itikadi za chama,jisia,Upemba na Unguja basi Wajanja wanaweza kulipoteza taifa la watu wa Zanzibar na tukaingizwa ktk tumbo la Tanganyika ijitayo Tanzania kuwa Mkoa wa Watu wa Pwani.
Hivi ndio njama zinazopangwa na wenzetu wa Tanganyika wanapokuwa pamoja kwa maslahi yao na hutafutwa Wzanzibar Zaifu wenye ushu wa madaraka kuwatumilia ili wawe ni REMOTE yao waishezeshe watakavyo.
Muhimu tuitisheni kura haraka ya maoni tuvunje Muungano kabla hatuja asirika sisi na vizazi vyetu vya badae? tunaweza kutako katika BED tukenda ktk WARST ikawa hali nimbaya sana kwa Zanzibar. tukane mswada wakatiba na tuashe kupoteza muda wetu na nguvu zetu kujadili kitu kisicho na faida yoyote kwa jamii yetu ya ki-Zanzibar.
Tukifanya hivyo ndio kujiparia makaa wenyewe na kumezwa na matapeli wa Tanganyika kwa jina la Muungano fake. Huo mswada hata urudiswe urekebishwe vipi basi hawa watu lengo lao ni kuimeza Zanzibar kwa kishingizio cha Watu wake ni kidogo, sasa tuna sababu gani zakubakia ktk Muungano huu?
Muungano huu hauna hata usibiticho wa kimataifa vipi sisi tuweze kuukubali? kuendelea nao nikujinyonga wenyewe na kusudi haiambiwi pole? wewe angalia tu ktk mswada wakatiba umekwenda vile vile kimizengwe kama walivyo iua Tanganyika na kuvaa Koti la Tanzania, nikujikushanya wenyewe na kuamua lipi tufanye na lipi tusifanye ili waweze kutuburuza? nilazima Wzanzibar tushtuke na tuitishe haraka kura ya maoni kuvunja Muungano na sio kuvunja tu?.
Nilazima tupeleke kesi Umoja wa Mataifa kuwa wamefanya forgery Tanganyika ktk hati muhimu za Serekali historia ya Zanzibar itakuwepo milele na milele lakini kama hatukujikaza Wzanzibar kizazi cha Zanzibar kinaweza kupotezwa na historia ikaanguka katika watu wasio husika na historia hio.
Hawa walijaribu kufuta ramani ya Zanzibar ktk map ya ulimwengu na kujaribu kutusomesha maskulini historia ilokuwa sio yetu ya vita vya wahehe,wamanyema na kuashwa kusomeshwa historia yetu ambayo n muhimu kwa kizazi shetu.
Wzanzibar kuna haja ya kura ya maoni haraka kuhusu Muungano,tudai hii haki yetu kwa nguvu zetu zote nikuwasindikiza wawakilishi wetu,Wabunge,Mashehe wetu na jamii zetu zote na ikiwa kuna kiongozi anapinga hili tumtenge na iwe ni tamu yake ya mwisho kumchagua na tuonyeshe hasira zetu popote pale kuhusu kupinga Muungano huu fake kuwa hatuutaki na tuchore na kupaka makopo ya rangi kila kona ya Zanzibar kuukataa Muungano na hii wanaitumia sana ya kupaka marangi hata wenzetu wa Nother-Ireland kupinga kutawaliwa na Waengereza na wenzetu hawa wamekaa vibaya kutumeza. Mungu kibariki kizazi shetu.
Wz'bar kiti kiko wazi tukishavunja Muungano sio wageni wa Un.

[caption id="attachment_29802" align="alignnone" width="300" caption="Kura ya Maoni kuhusu Muungano inahitajika haraka kwa Wzanzibar kujigomboa"] [/caption]

Hivi nyinyi wazenji mbona mnajidanganya sana juu ya muungano? Hivi mkiuvunja muungano mtafaidika na nini zaidi ya kuumia? Kwanza mjue kabisa kuwa litaibuka bifu kubwa kati ya unguja na pemba maana hampendani kwa dhati.Pili kama kuna mwana jf yeyote anayejua Zenji kuna shughuli gani za kiuchumi ukiondoa kilimo cha karafuu anieleze hapa.Mkivunja muungano kwa kutegemea misaada ya OIC mjue kuwa imekula kwenu na umasikini utawamaliza.Tatizo lenu zenji mmejaa uhafidhina mtupu!!!!!!!!!!!!!
 
Kwani kabla yamuungano wa znz wakijiendesha vipi nawakitegemea msaada gani,kutoka wapi.
Kwani wa znz wanafika milioni ngapi? Wa znz kabla ya muungano kulikua na ubaguzi wao kwawao
nakubaguana wa znz ilifikajefikaje.tukitaka tusitake ufyoroto wote huu wamatatizo aliouleta ni nyerere.
Wagawe uwatawale ndo sera iliotumika sasa kiufupi wa znz wameshaungana nawanadai haki yao walioshulumiwa so
nihak yao kupinga chocho kwa maslah yao nahapa sijaona kosa lolote muungano nikitu kizuri lakini nautengano ni mafarakano so hapana shaka ikiwa znz na tanganika ziliungana kwania safi basi hapana shaka kila upande moja ufaidi matunda sawa nahapa hapana mkubwa wala mdogo wingi nimuungano wa nchi mbili zenye mamlaka yake kamili.
Solution ikiwa wa znz watadai kuvunja muungano kama kwamba walivokubali kuunganisha nchi basi wachiwe wavunje muungano then kama pana mapenzi yakweli namazoea basi pande mbili zitakaa pamja nakujadili upya jinsi ya kungana kwa maslah yapande zote.
 
Back
Top Bottom