Tukio linalotegemewa tega masikio sasa

Nyie mnataka kumrudisha Mhandisi Dk. Msekela kwenya kushika chaki?

Acheni roho mbaya jamani... (joke)
 
Jasusi, Mtanzania.

Wasiwasi wangu au shida yangu kuelewa hivi kuna nini kwenye madaraka, chukulia tuna wanaTanzet kibao wamekuja kuchukua post kubwa na baada tu ya kuzikwaa wamekuwa watetezi namba moja wa ufisadi.
Chukulia huyu jamaa yetu msaidizi wa BWM, sasa hivi anamtetea BWM huwezi kumwambia kitu, Dr. Msekela huyu yeye sasa kama ni embe kuoza basi limeoza bado changa maana hauziki kabisa.
Hawa jamaa walikuwa makini saana kuchangia Tanzanet mwingine Dr Amani naye ni taabau tupu.
Mimi nina imani hata huyu mtanzania akipewa tu, utabadirika vibaya saana, huko juu ni balaaa
 
Mkuu Lunyungu,

Mimi nimeshakata na tiketi, nataka mkoa ulio nyuma kuliko yote na baada ya mwaka kama hakuna jipya basi niwe fired tena kwa kusulubiwa kwi kwi kwi!!!!

Hao jamaa hawawezi kutoa kazi kwa watu ambao hawatawapigia magoti. Wanataka watu ambao watatekeleza yale wanayoambiwa na wakubwa zao. Watu huru kama wengi hapa JF, hata siku moja hawawezi kufikiriwa!

Kwi kwi kwi!
Tumekuandalia ule Mkoa wa akina Pinda na Krisanti.
Kuna rasilimali za kutosha sana, maji, mifugo, watu, ardhi na siasa safi! Njoo tu mkuu, milango i wazi.
 
Mimi huwa nashangaa sisi weusi sijui tuna roho ya namna gani .Kuna wana mitandao kibao ambao nawajua walikuwa majuu katika ma yahoo mailing lists na sasa wameukwa hata salam pekee ni shida nabaki napatwa na kichwa kuna ugonjwa gani baada ya kuchukua ofisi ya Umma.Tuendelee kuchambua mikoa wakati watu wanajipinda kuleta majina ya washikaji zao .Mwanza naona mmetabiri juzi leo imekuwa kweli , Morogoro umesha guswa.Sasa Mkoa wa Mara .Mnasemaje na huyu mkuu wa kule ?
 
Jasusi, Mtanzania.

Wasiwasi wangu au shida yangu kuelewa hivi kuna nini kwenye madaraka, chukulia tuna wanaTanzet kibao wamekuja kuchukua post kubwa na baada tu ya kuzikwaa wamekuwa watetezi namba moja wa ufisadi.
Chukulia huyu jamaa yetu msaidizi wa BWM, sasa hivi anamtetea BWM huwezi kumwambia kitu, Dr. Msekela huyu yeye sasa kama ni embe kuoza basi limeoza bado changa maana hauziki kabisa.
Hawa jamaa walikuwa makini saana kuchangia Tanzanet mwingine Dr Amani naye ni taabau tupu.
Mimi nina imani hata huyu mtanzania akipewa tu, utabadirika vibaya saana, huko juu ni balaaa

Yombayomba,

Kwi kwi kwi!!! nitakuwa wa kwanza kubadilika, usiweke imani kwangu kabisa kwi kwi kwi!!!

Hapana mkuu, wengine tunaishi kwa priciples zetu na zimetukosanisha na watu wengi kwahiyo sio rahisi kupata ulaji. Muhimu ni kusihi kwa mambo unayoyaamini na unakuwa na raha moyoni hata kama huna kitu.

Ila kitu ambacho nina uhakika, hata niwe wapi? Sitaacha kutembelea vijiwe.
 
Kwi kwi kwi!
Tumekuandalia ule Mkoa wa akina Pinda na Krisanti.
Kuna rasilimali za kutosha sana, maji, mifugo, watu, ardhi na siasa safi! Njoo tu mkuu, milango i wazi.

Wewe IDIMI,

Hiyo milango iliyo wazi iko wapi?

Miaka kama miwili kuanzia sasa, nitaomba wanipe hata kata, tena ikiwezekana bila hata malipo ila tu power ya kufanya yale ninayoyaamini.

Inabidi ifike mahali inabidi kubadili haya tunayoyasema kila siku into deeds. Hizi pesa za Ulaya inafika wakati hata haziongezi kitu zaidi ya boss
kusema well done. Kuna sehemu nikiwa likizo nyumbani, niliangalia mafunzo ya PRIDE, akina mama walipofuzu, wakafurahi na kupewa pesa, wakaimba na nyimbo na kucheza. Yaani iliniuma kweli, hawa mama wanacheza shauri mkopo wa laki mbili, tena riba zaidi ya 20%, wasomi tungelikuwa tunatumia elimu zetu vizuri, tunaweza ku achieve mangapi kule nyumbani na kuwafanya akina mama wafurahi?

Nina uhakika sitawaangusheni kama Msekela na Mwakipesile kwi kwi kwi!!!
 
Nitaomba niwe msaidizi wako (PS)ili niwe nakukumbusha ahadi zako ulizotoa JF!......lol
 
Mwafrika wa Kike,

Unataka kuleta balaa!! Si unawajua wana JF, wataleta ya kwao humu kwasababu
tu kuna mtu ametuona ofisini tunacheka.

Inabidi kuweka kibao mlangoni, kama ni mwanamke lazima aongozane na mtu kuja kuniona kwi kwi kwi!!!
 
Umesahau kuwa katibu kata hana ofisi? Inabidi uwe unatembelea wananchi wako kule waliko kuhimiza shughuli za maendeleo!
 
kama kweli Pinda kapinda kiasi cha kupindisha mazoea ya kuchukua zilipendwa na kuzikarabati basi tumshukuru Mungu,lakini kazi za wakuu wa mikoa nizipi hasa? Kufuta hivi vyeo ni muhimu kwa sasa,haya mzee yetu masikio.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom