Tukio la Ujambazi lililofanikiwa zaidi, kusisimua na kuushangaza Ulimwengu

Iyo itaitwa the belgium job, kuna wabrazil pia walifanya tukio la uwizi kubwa sana la hela kwenye BOB yao, amongst the best theft duniani, naona hollywood wame prefer kuweka movie ya myahudi, sishangai.
Subscribed and waiting for another episode.
BABA MOJA MAMA MOJA
 
Hata wale vijana walioiba fedha bank kuu vya Brazil mwaka 2005,baada ya kuchimba shimo la urefu wa mita kumi na nane toka kwenye ofisi yao mpaka kwenye vault ya bank ni hatari sana, wao pia walitumia miezi mitatu, waliondoka na hela zenye uzito wa tani 3.5,walikamatwa watu wawili kati ya nane, wengine waliobaki ni imekuwa ni controversy, police wali recover only 12% ya hela yote, nayo imetajwa kuwa ni robbery of the century
 
Back
Top Bottom