Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

Cdm, munabishana na polisi !kwasababu za kijinga kama mkutano muliruhusiwa, tbc hawafai,chanal 10 haifai,star tv hawafai na itv wanafaa, si kweli,lkn kilicho wazi ni itv na gazeti lao la nipashe,wanamahaba na cdm, kwasababu wafanyakazi wao ,wengi wao wanatoka kilimanjaro,kwahiyo ni swala la ubaguzi tuu.mfano umewahi kuona mfanyabiashara au mtumishi wa selikali,wa mikoa ya pembezoni tz ambae mchagga si cdm.tunakaanao na kuishinaana wapo ,tra ,polisi ,madokta,wauza bidhaa uwambii kitu kuhusu cdm,wanginewao wanafanya kichinichini.
 
Ipo siku Tutaidaio kodi yetu tunayoilipa TBC kurusha matangazo kwa wananchi badala yake wao wanaonyesha Mafisadi tu wakitanua kwa jasho letu,baada ya kumuondoa Tido Mhando Mtangazaji mahili aliyebobea kisa alifurahia sana mipango ya chadema katika Mdahalo wa Uchaguzi mkuu na kukipa umaarufu chama hicho wakati wa kampeini za uchaguzi wa mwaka 2010. kilichobaki sasa nikuangalia vijana wetu wa The Comedy Masanja, Joto na wenzake/
 
Hivi hawajui matumizi ya nguvu kiasi hicho ni kwamba iko siko watu watazoea na hawataogopa tena?Na baada ya hapo kitakachofuatia itakuwa balaa!!Au wao wameshaandaa pa kukimbilia?Jeo hao FFU wataondoka nao au wao watabaki wanasota na kujificha na watu wenye kutaka kulipiza kisasi?Wakumbuke damu ya mtu haipotei bure!
 
WanaJF

Kituo cha Habari cha ITV ndicho kimeonyesha balanced story kwa mauaji haramu yaliyotokea Morogoro leo.ITV imeweza kumuonyesha mtu aliyekuwa jirani na muuza magazeti aliyeuawa kinyama ambaye amesema kwamba kijana aliyeuawa amepigwa risasi na polisi kichwani huku akiwa ameshika magazeti yake.

Pia imeonyesha kwa kina mkutano wa CHADEMA, maoni ya wananchi pamoja na polisi wakipiga watu.Kupitia ITV watanzania wameweza kushuhudia vijana wa CDM wakiwa hawana hata fimbo bali wakionyesha tu alama ya vidole viwili na kubeba bendera za chama chao. Vyombo vya habari vinapaswa kuiga mfano huu.

Hongereni ITV

watanzania hatuna budi kubadili fikira zetu ili kuendana na mabadiliko makubwa yanayotokea katika jamii zetu, vyombo vya habari kupotosha ukweli wa mauaji ya wanannchi wasiokuwa na silaha morogoro haviwezi kuvumiliwa, tunaomba wananchi kwa umoja wetu tushirikiane na vyombo vya habari vyenye tija kama ITV na kuvisusia vyombo vingine vya habari!
 
Last edited by a moderator:

Ushauri muafaka kabisa
 
BIG UP!! ITV nyie ndio mnaojua nini maana ya uhuru wa habari na wana habari. TBC hamna kitu.......!!! mnapelekwaX2 tu.
 
kwanini munalazimisha maandamano kama kuhutubia muliruhusiwa hiyo ndio dola na bado.

Mkuu, Nashindwa kukuchagulia maelezo ili utofautishe dola na wahuni.
Hebu nikuulize. Siku wakikulawiti pia utasema hiyo ndo dola???
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom