Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225


WanaJF

Kituo cha Habari cha ITV ndicho kimeonyesha balanced story kwa mauaji haramu yaliyotokea Morogoro leo.ITV imeweza kumuonyesha mtu aliyekuwa jirani na muuza magazeti aliyeuawa kinyama ambaye amesema kwamba kijana aliyeuawa amepigwa risasi na polisi kichwani huku akiwa ameshika magazeti yake.

Pia imeonyesha kwa kina mkutano wa CHADEMA, maoni ya wananchi pamoja na polisi wakipiga watu.Kupitia ITV watanzania wameweza kushuhudia vijana wa CDM wakiwa hawana hata fimbo bali wakionyesha tu alama ya vidole viwili na kubeba bendera za chama chao. Vyombo vya habari vinapaswa kuiga mfano huu.

Hongereni ITV
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli TBC si ni ya Taifa au genge la wahuni?
TBC kila mtu anaogopa, analinda kibarua, ila ukiwa nao nje ya pale watakueleza kuwa hata wao hawapendi hivyo, wanaua taaluma kwa maslahi binafsi. Hii haifai kwa chombo cha umma kama hicho, subiri magazeti yao kesho ndio utaona hao jamaa wakoje waliopo chini ya mfumo huo wa ukandamizaji wa haki.
 
Kituo cha Habari cha ITV ndicho kimeonyesha balanced story kwa mauaji haramu yaliyotokea Morogoro leo.

Pia imeonyesha kwa kina mkutano wa CHADEMA, maoni ya wananchi pamoja na polisi wakipiga watu. Vyombo vya habari vinapaswa kuiga mfano huu.

Hongereni ITV

Kwani hujui kuwa ni tv yao?
 
TBC mbuzi kabisaaaa! yaani hata main news za leo wao hawaoni umuhimu wa kutaja jambo hili la kihuni linalofanywa na serikali.

TBC Uchafu kabisa!!

He wenzangu mnapata wapi ujasiri wa ku tune-in TBC. Nina decoder ya StarTimes lakini kamwe sidhubutu kuangalia hao makuwadi wa maharamia.
 
TBC mbuzi kabisaaaa! yaani hata main news za leo wao hawaoni umuhimu wa kutaja jambo hili la kihuni linalofanywa na serikali.

TBC Uchafu kabisa!!

Mkuu, hawa tbc ni chini ya mbuzi, ni KONDOO kabisa. sijui kwa sababu yanafuata matakwa ya hili chama bomu ccm??? hawana maana kabisa hawa ma-ZUZU. Wao wanataka kulifurahisha tu hili li ccm bovu.


Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waachane na hili li-serikali la ccm MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.
 
TBC mbuzi kabisaaaa! yaani hata main news za leo wao hawaoni umuhimu wa kutaja jambo hili la kihuni linalofanywa na serikali.

TBC Uchafu kabisa!!
Hivi kuna watu bado mnaiangalia hii tv? Nilishaidelete kwenye receiver yangu!!!!!!
 
Back
Top Bottom