Tukio la mabomu unachotakiwa kujua

........Au umetumwa na mafisadi? Upupu si upupu, pumba si pumba............yaani! Namuunga mkopno mwenye post #18!!
 
Tukisema kwa lawama dhidi ya serikali ambazo zinatolewa na wananchi mbalimbali hii ni haki yao kabisa hakuna mtu anayepingwa kwa kutoa lawama zozote zile lakini tunapotoa lawama ni vizuri tuwe na vitu vya ziada yaani unatoa lawama huku ukiwa na suluhisho la suala hilo au ukiwa na mchango wa aina yoyote ambao unaweza kusaidia suala hilo .

Tukio la mabomu la gongo la mboto na mbagala limetukumbusha mengi haswa suala la watu kuhamia sehemu za karibu na makambi ya jeshi hebu kwanza tuone historia fupi ya kambi hizi .

Kambi ya gongo la mboto wakati inajengwa enzi hizo ilikuwa mbali sana na raia ila raia walikimbilia maeneo ya jirani na kambi hiyo kwa ajili ya kujihifadhi na shuguli zingine lakini wakati inajengwa ilikuwa mbali sana .

Kambi ya lugalo nayo ilikuwa mbali sana pamoja na magorofa ya jeshi mwenge nayo yalijengwa kwa ajili ya wafanyakazi lakini yakaonekana yako mbali kwa wafanyakazi wa serikali ndio maana wanajeshi wakamwekwa hapo lakini ona sasa hivi wananchi walivyojaa pembeni mwa magorofa hayo .

Kambi ya changanyikeni kuna rada ndio maana ni ngumu kwa baadhi ya sehemu raia kusogelea kwa sababu wanaweza kuonwa au kunasana kwenye mitego mengine ya maeneo hayo .

Kambi ya mabibo nayo wakati inajengwa ilikuwa mbali na mji wakati ule soko la kariakoo linajengwa raia waliohamishwa kule walipewa nafasi maeneo ya mabibo unaweza kuona jinsi gani wakati kambi hizi zinajengwa zilivyokuwa mbali enzi hizo .

SUALA LA KUHAMISHA KAMBI KUWA MBALI NA RAIA
Kila mwananchi mwelewa anatakiwa ajue kwamba kambi hizo zimejengwa kwa gharama kubwa sana na kuhamisha kwenda sehemu nyingine pia inahitaji gharama kubwa pengine zaidi kutokana na gharama hizo basin a uwezo wa nchi yetu katika masuala mbalimbali yanayohusu fedha tusihoji kwanini kambi hazipelekwi mbali je nchi ina uwezo wa kujenga kambi zingine mbali zaidi na kama zikienda huko kwa maslahi ya nani ?

SUALA LA WATU KUJIUZURU
Kama nilivyosema hapo juu watu wengi hawajui mambo yanayoenda na kuendeshwa ndani laiti wangejua gharama za kuhifadhi mali hizo na kiasi cha bajeti kilichowekwa kwa ajili ya bidhaa hizo kama zinaendana sawa au la kama hazitoshi itasaidiwaje na sio kujiuzuru hata wakijiuzuru wale wanaokuja watapata wapi fedha na uwezo wa kuendesha shuguli hizo tukumbuke hii ni sekta nyeti kwa usalama na maslahi ya nchi yetu sio ya kuchezewa chezewa hovyo .

KWA WASIOJUA .
Hifadhi ya silaha inahitaji aina Fulani ya mazingira , hewa na matumizi mengine kama Grisi na mafuta mfano mzinga mmoja ile midigo iliyookotwa inatumia karibu lita 20 za mafuta kwa ajili ya kuosha kama una mizinga kama ile alfu 4 tu unaweza kupiga gharama za mafuta , grisi matunzo mengine .

Halafu kuna hili tatizo la mgao wa umeme

SULUHISHO .
Matukio kama haya yanagusa sekta muhimu katika taifa yasitumiwe katika kujinufaisha kisiasa hata kidogo , wazalendo haswa wanasiasa kwenye vyama mbalimbali tumieni wataalamu na wajuzi wenu katika kuleta suluhisho mbadala la matatizo haya na sio kupiga domo bila suluhisho la msingi .

NENO LA LEO
USALAMA WA NCHI NA WATU WAKE UNAHUSU TAIFA LOTE LA WATANZANIA NA MALI ZAKE SIO CCM WALA JWTZ – WEWE TIMIZA WAJIBU WAKO KWA KULETA SULUHISHO LA KUDUMU KWA VITENDO http://www.mnyonge.blogspot.com/

Wewe ndio wale wale mbumbumbu,you don't know what is happening in this world!
 
SUALA LA KUHAMISHA KAMBI KUWA MBALI NA RAIA
Kila mwananchi mwelewa anatakiwa ajue kwamba kambi hizo zimejengwa kwa gharama kubwa sana na kuhamisha kwenda sehemu nyingine pia inahitaji gharama kubwa pengine zaidi kutokana na gharama hizo basin a uwezo wa nchi yetu katika masuala mbalimbali yanayohusu fedha tusihoji kwanini kambi hazipelekwi mbali je nchi ina uwezo wa kujenga kambi zingine mbali zaidi na kama zikienda huko kwa maslahi ya nani ?

KWA WASIOJUA .
Hifadhi ya silaha inahitaji aina Fulani ya mazingira , hewa na matumizi mengine kama Grisi na mafuta mfano mzinga mmoja ile midigo iliyookotwa inatumia karibu lita 20 za mafuta kwa ajili ya kuosha kama una mizinga kama ile alfu 4 tu unaweza kupiga gharama za mafuta , grisi matunzo mengine .

KUna gharama kubwa zaidi ya maisha ya watu waliopotea? Nchi inayokwepa gharama za kuhamisha kambi ya jeshi kwa madai kuwa ni kubwa, lakini ipo tayari kupoteza maisha ya watu wake, ni nchi hatari sana kuishi.

halafu, huo utaalamu wako wa kuhifadhi silaha ni kiboko.... ?
 
Sawa umeandiiika na nmesoma!... Ninachotaka kujua ni kwanini yale mabomu yamelipuka??? Mtu mwenye akili zake timamu haiwezi kumuingia kauli ya 'bahati mbaya'... ''Eti bomu limelipuka bahati mbaya!!''
Na ulichotuandikia shy...its just a crap!...
 
SULUHISHO .
Matukio kama haya yanagusa sekta muhimu katika taifa yasitumiwe katika kujinufaisha kisiasa hata kidogo , wazalendo haswa wanasiasa kwenye vyama mbalimbali tumieni wataalamu na wajuzi wenu katika kuleta suluhisho mbadala la matatizo haya na sio kupiga domo bila suluhisho la msingi .

NENO LA LEO
USALAMA WA NCHI NA WATU WAKE UNAHUSU TAIFA LOTE LA WATANZANIA NA MALI ZAKE SIO CCM WALA JWTZ – WEWE TIMIZA WAJIBU WAKO KWA KULETA SULUHISHO LA KUDUMU KWA VITENDO http://www.mnyonge.blogspot.com/

Shy,

Hapo penye red inaweza kuniambia wewe ni mtoto kiasi gani...

Kwahiyo Chuo Kikuu kilifuata Mabomu ya Air Wing Changanyikeni?

Kwahiyo Uwanja wa Ndege ulifuata Basement Store Depot ya Gongo La Mboto?

Lugalo ilikuwa mbali sana zamani ipi? Familia yangu ilikuwa wanaishi Mbezi Beach kabla ya Lugalo kujengwa?

Mwenge kijijini ilijengwa na Serikali pamoja na nguvu za wananchi?

Acha kutoa sababu za kitoto -

Kuifadhi silaha ni kazi ya wana-Usalama na siyo kazi ya RAI!
 
nimesoma comment ya shy kwa kweli sikutaka kuimaliza imenitia kichefuchefu hivi shy anaishi tanzania hii hii? halafu nafikiri hakuna ndugu yake aliye athirika katika hili janga
 
Tukisema kwa lawama dhidi ya serikali ambazo zinatolewa na wananchi mbalimbali hii ni haki yao kabisa hakuna mtu anayepingwa kwa kutoa lawama zozote zile lakini tunapotoa lawama ni vizuri tuwe na vitu vya ziada yaani unatoa lawama huku ukiwa na suluhisho la suala hilo au ukiwa na mchango wa aina yoyote ambao unaweza kusaidia suala hilo .

Tukio la mabomu la gongo la mboto na mbagala limetukumbusha mengi haswa suala la watu kuhamia sehemu za karibu na makambi ya jeshi hebu kwanza tuone historia fupi ya kambi hizi .

Kambi ya gongo la mboto wakati inajengwa enzi hizo ilikuwa mbali sana na raia ila raia walikimbilia maeneo ya jirani na kambi hiyo kwa ajili ya kujihifadhi na shuguli zingine lakini wakati inajengwa ilikuwa mbali sana .

Kambi ya lugalo nayo ilikuwa mbali sana pamoja na magorofa ya jeshi mwenge nayo yalijengwa kwa ajili ya wafanyakazi lakini yakaonekana yako mbali kwa wafanyakazi wa serikali ndio maana wanajeshi wakamwekwa hapo lakini ona sasa hivi wananchi walivyojaa pembeni mwa magorofa hayo .

Kambi ya changanyikeni kuna rada ndio maana ni ngumu kwa baadhi ya sehemu raia kusogelea kwa sababu wanaweza kuonwa au kunasana kwenye mitego mengine ya maeneo hayo .

Kambi ya mabibo nayo wakati inajengwa ilikuwa mbali na mji wakati ule soko la kariakoo linajengwa raia waliohamishwa kule walipewa nafasi maeneo ya mabibo unaweza kuona jinsi gani wakati kambi hizi zinajengwa zilivyokuwa mbali enzi hizo .

SUALA LA KUHAMISHA KAMBI KUWA MBALI NA RAIA
Kila mwananchi mwelewa anatakiwa ajue kwamba kambi hizo zimejengwa kwa gharama kubwa sana na kuhamisha kwenda sehemu nyingine pia inahitaji gharama kubwa pengine zaidi kutokana na gharama hizo basin a uwezo wa nchi yetu katika masuala mbalimbali yanayohusu fedha tusihoji kwanini kambi hazipelekwi mbali je nchi ina uwezo wa kujenga kambi zingine mbali zaidi na kama zikienda huko kwa maslahi ya nani ?

SUALA LA WATU KUJIUZURU
Kama nilivyosema hapo juu watu wengi hawajui mambo yanayoenda na kuendeshwa ndani laiti wangejua gharama za kuhifadhi mali hizo na kiasi cha bajeti kilichowekwa kwa ajili ya bidhaa hizo kama zinaendana sawa au la kama hazitoshi itasaidiwaje na sio kujiuzuru hata wakijiuzuru wale wanaokuja watapata wapi fedha na uwezo wa kuendesha shuguli hizo tukumbuke hii ni sekta nyeti kwa usalama na maslahi ya nchi yetu sio ya kuchezewa chezewa hovyo .

KWA WASIOJUA .
Hifadhi ya silaha inahitaji aina Fulani ya mazingira , hewa na matumizi mengine kama Grisi na mafuta mfano mzinga mmoja ile midigo iliyookotwa inatumia karibu lita 20 za mafuta kwa ajili ya kuosha kama una mizinga kama ile alfu 4 tu unaweza kupiga gharama za mafuta , grisi matunzo mengine .

Halafu kuna hili tatizo la mgao wa umeme

SULUHISHO .
Matukio kama haya yanagusa sekta muhimu katika taifa yasitumiwe katika kujinufaisha kisiasa hata kidogo , wazalendo haswa wanasiasa kwenye vyama mbalimbali tumieni wataalamu na wajuzi wenu katika kuleta suluhisho mbadala la matatizo haya na sio kupiga domo bila suluhisho la msingi .

NENO LA LEO
USALAMA WA NCHI NA WATU WAKE UNAHUSU TAIFA LOTE LA WATANZANIA NA MALI ZAKE SIO CCM WALA JWTZ – WEWE TIMIZA WAJIBU WAKO KWA KULETA SULUHISHO LA KUDUMU KWA VITENDO

Hivi mtu anaposhindwa wajibu wake anatakiwa kushauriwa nini??? Je wajibu wa JWTZ kwenye silaha ni kuzitumia tu au kufahamu pia namna ya kuzihifadhi silaha zao??? Mfano, wewe umeajiriwa kusimamia store ya madawa, wajibu wa nani kutambua madawa yaliyoharibika na kuyatoa??

Pia naona unataka kuhalalisha milipuko ya mabomu kwa vile tu enzi hizo maghala yalionekana mbali na makazi ya watu. Hebu jiulize haya:-
1) Ni sawa kwa mabumu kulipuka yenyewe hata kama yalikuwa mbali na makazi ya watu???
2) Ni nani aliyeruhusu kujengwa kwa makazi ya watu katika maeneo ambayo yalitengwa kwa ajiri ya kambi za jeshi au maghala ya silaha???
3) Tanzania ina ardhi kubwa sana, wao serikali na JWTZ kama kweli wako makin na kazi zao na usalama kwa wananchi, walishindwa vp kuchukua tahadhali ya kuwepo maghala ya silaha sehemu ambayo tayari makazi ya watu yameshahamia???

Unauliza uwezo wa serikali kujenga maghala ya silaha mbali na makazi ya watu, umeshawahi kujiuliza uwezo wa serikali kuilipa fastafasta dowans??? Umeshawahi kujiuliza uwezo wa chama tawala kutandaza mabango ya Bil 50 nchi nzima kwa wiki chache tu??? Unauliza kambi zikipelekwa mbali na makazi ya watu ni kwa maslahi ya nani, kwani hapo awali zilipokuwa mbali na makazi ya watu ilikuwa ni kwa maslahi ya nani???

SUALA LA WATU KUJIUZURU
Kama nilivyosema hapo juu watu wengi hawajui mambo yanayoenda na kuendeshwa ndani laiti wangejua gharama za kuhifadhi mali hizo na kiasi cha bajeti kilichowekwa kwa ajili ya bidhaa hizo kama zinaendana sawa au la kama hazitoshi itasaidiwaje na sio kujiuzuru hata wakijiuzuru wale wanaokuja watapata wapi fedha na uwezo wa kuendesha shuguli hizo tukumbuke hii ni sekta nyeti kwa usalama na maslahi ya nchi yetu sio ya kuchezewa chezewa hovyo

Kwani pesa ya kuilipa Dowans ilitoka ktk bajeti gani??? Hiyo sekta ya Usalama na Maslahi ya nchi anaeichezea ni nani??? Mwananchi aliyetandikwa na mabomu au wanaotunza silaha?? Usalama wa nchi upi unaouzungumzia wakati watu wanachota mabilioni ya pesa kila kukicha?? Kuna nchi bila wananchi??? Au unamaanisha usalama wa viongozi wakuu wa nchi na walanchi???

Kama utunzaji wa silaha ni gharama kiasi chizo kama ulivyodai ktk KWA WASIOJUA, walinunua hizo silaha ili atunze nani?? Au ilipangwa wakwepe gharama kwa kuziacha zilipukie wananchi???

Hayo ya mgao wa umeme, je tatizo la umeme limesababishwa na hao wataalamu wa vyama kutowajibika tukoa utaalamu wao au uzembe wa serikali kushindwa kutumia vizuri uwepo wa wataalamu wake hapa nchini?? Nani aliishauri serikali iingie mkataba na kampuni hewa??? Nani aliishauri serikali ikubali mkataba wa kuhamishwa??? Nani alimshauri Waziri Mkuu aliyejiuzuru akaombe wataalau wa mvua Thailand???

Wananchi watawezaje kuilinda nchi yao wakati wenye dhamana kuu ya kulinda nchi wanaruhusu nchi itafunwe??? Au ulitaka wananchi wawalinde walanchi na viongozi wakuu wa nchi???
 
Shy,
Kuhamisha maghala ni gharama kubwa tunakubali. Je, waliozijenga kipindi hicho walitoa pesa wapi? Ukweli ni kwamba baada ya Mwalimu serkali zilizofuata hazijui wajibu wake. Jeshi ni kati ya idara zinazoongoza kwa ubadhirifu na ufisasi. Mkuu wa nchi anaongoza genge la mafia la mafisadi atawakemea vipi viongozi wa jeshi walioshika mizinga mkononi wakati yeye anayoyafanya ni hayohayo?

Mkuu wa jeshi na waziri wa ulinzi lazima wajiuzulu.
 
........... .

SUALA LA KUHAMISHA KAMBI KUWA MBALI NA RAIA
Kila mwananchi mwelewa anatakiwa ajue kwamba kambi hizo zimejengwa kwa gharama kubwa sana na kuhamisha kwenda sehemu nyingine pia inahitaji gharama kubwa pengine zaidi kutokana na gharama hizo basin a uwezo wa nchi yetu katika masuala mbalimbali yanayohusu fedha tusihoji kwanini kambi hazipelekwi mbali je nchi ina uwezo wa kujenga kambi zingine mbali zaidi na kama zikienda huko kwa maslahi ya nani ?

SUALA LA WATU KUJIUZURU
Kama nilivyosema hapo juu watu wengi hawajui mambo yanayoenda na kuendeshwa ndani laiti wangejua gharama za kuhifadhi mali hizo na kiasi cha bajeti kilichowekwa kwa ajili ya bidhaa hizo kama zinaendana sawa au la kama hazitoshi itasaidiwaje na sio kujiuzuru hata wakijiuzuru wale wanaokuja watapata wapi fedha na uwezo wa kuendesha shuguli hizo tukumbuke hii ni sekta nyeti kwa usalama na maslahi ya nchi yetu sio ya kuchezewa chezewa hovyo .

KWA WASIOJUA .
Hifadhi ya silaha inahitaji aina Fulani ya mazingira , hewa na matumizi mengine kama Grisi na mafuta mfano mzinga mmoja ile midigo iliyookotwa inatumia karibu lita 20 za mafuta kwa ajili ya kuosha kama una mizinga kama ile alfu 4 tu unaweza kupiga gharama za mafuta , grisi matunzo mengine .

Halafu kuna hili tatizo la mgao wa umeme

SULUHISHO .
Matukio kama haya yanagusa sekta muhimu katika taifa yasitumiwe katika kujinufaisha kisiasa hata kidogo , wazalendo haswa wanasiasa kwenye vyama mbalimbali tumieni wataalamu na wajuzi wenu katika kuleta suluhisho mbadala la matatizo haya na sio kupiga domo bila suluhisho la msingi .

NENO LA LEO
USALAMA WA NCHI NA WATU WAKE UNAHUSU TAIFA LOTE LA WATANZANIA NA MALI ZAKE SIO CCM WALA JWTZ – WEWE TIMIZA WAJIBU WAKO KWA KULETA SULUHISHO LA KUDUMU KWA VITENDO

I am very sorry hatutakiwi kujua NONSENSE zako!! Kajipange vizuri au waulize unaojaribu kuwatetea wakufundishe vizuri

Kukaa karibu na kambi za jeshi has nothing to do na milipuko au uzembe uliotokea and I hope huna maana its ok kwa wanajeshi kufa kwa uzembe kama huu unatokea. Tunazungumzia makombola ya kijeshi je unajua safe distance ambayo raia wanapashwa kuwa kutoka kambi za jeshi, je unafahamu uhusiano wa jeshi na raia je unajua kuna kambi za jeshi kuna raia wanaishi na wafamilia zao?
 
Tukisema kwa lawama dhidi ya serikali ambazo zinatolewa na wananchi mbalimbali hii ni haki yao kabisa hakuna mtu anayepingwa kwa kutoa lawama zozote zile lakini tunapotoa lawama ni vizuri tuwe na vitu vya ziada yaani unatoa lawama huku ukiwa na suluhisho la suala hilo au ukiwa na mchango wa aina yoyote ambao unaweza kusaidia suala hilo .

Tukio la mabomu la gongo la mboto na mbagala limetukumbusha mengi haswa suala la watu kuhamia sehemu za karibu na makambi ya jeshi hebu kwanza tuone historia fupi ya kambi hizi .

Kambi ya gongo la mboto wakati inajengwa enzi hizo ilikuwa mbali sana na raia ila raia walikimbilia maeneo ya jirani na kambi hiyo kwa ajili ya kujihifadhi na shuguli zingine lakini wakati inajengwa ilikuwa mbali sana .

Kambi ya lugalo nayo ilikuwa mbali sana pamoja na magorofa ya jeshi mwenge nayo yalijengwa kwa ajili ya wafanyakazi lakini yakaonekana yako mbali kwa wafanyakazi wa serikali ndio maana wanajeshi wakamwekwa hapo lakini ona sasa hivi wananchi walivyojaa pembeni mwa magorofa hayo .

Kambi ya changanyikeni kuna rada ndio maana ni ngumu kwa baadhi ya sehemu raia kusogelea kwa sababu wanaweza kuonwa au kunasana kwenye mitego mengine ya maeneo hayo .

Kambi ya mabibo nayo wakati inajengwa ilikuwa mbali na mji wakati ule soko la kariakoo linajengwa raia waliohamishwa kule walipewa nafasi maeneo ya mabibo unaweza kuona jinsi gani wakati kambi hizi zinajengwa zilivyokuwa mbali enzi hizo .

SUALA LA KUHAMISHA KAMBI KUWA MBALI NA RAIA
Kila mwananchi mwelewa anatakiwa ajue kwamba kambi hizo zimejengwa kwa gharama kubwa sana na kuhamisha kwenda sehemu nyingine pia inahitaji gharama kubwa pengine zaidi kutokana na gharama hizo basin a uwezo wa nchi yetu katika masuala mbalimbali yanayohusu fedha tusihoji kwanini kambi hazipelekwi mbali je nchi ina uwezo wa kujenga kambi zingine mbali zaidi na kama zikienda huko kwa maslahi ya nani ?

SUALA LA WATU KUJIUZURU
Kama nilivyosema hapo juu watu wengi hawajui mambo yanayoenda na kuendeshwa ndani laiti wangejua gharama za kuhifadhi mali hizo na kiasi cha bajeti kilichowekwa kwa ajili ya bidhaa hizo kama zinaendana sawa au la kama hazitoshi itasaidiwaje na sio kujiuzuru hata wakijiuzuru wale wanaokuja watapata wapi fedha na uwezo wa kuendesha shuguli hizo tukumbuke hii ni sekta nyeti kwa usalama na maslahi ya nchi yetu sio ya kuchezewa chezewa hovyo .

KWA WASIOJUA .
Hifadhi ya silaha inahitaji aina Fulani ya mazingira , hewa na matumizi mengine kama Grisi na mafuta mfano mzinga mmoja ile midigo iliyookotwa inatumia karibu lita 20 za mafuta kwa ajili ya kuosha kama una mizinga kama ile alfu 4 tu unaweza kupiga gharama za mafuta , grisi matunzo mengine .

Halafu kuna hili tatizo la mgao wa umeme

SULUHISHO .
Matukio kama haya yanagusa sekta muhimu katika taifa yasitumiwe katika kujinufaisha kisiasa hata kidogo , wazalendo haswa wanasiasa kwenye vyama mbalimbali tumieni wataalamu na wajuzi wenu katika kuleta suluhisho mbadala la matatizo haya na sio kupiga domo bila suluhisho la msingi .

NENO LA LEO
USALAMA WA NCHI NA WATU WAKE UNAHUSU TAIFA LOTE LA WATANZANIA NA MALI ZAKE SIO CCM WALA JWTZ – WEWE TIMIZA WAJIBU WAKO KWA KULETA SULUHISHO LA KUDUMU KWA VITENDO
acha ndoto za wakati huo wewe..! hamna wizara inayopewa hela nyingi zaidi ya hiyo ya Ulinzi! kw taarifa yako hamna wizara iliyokubuhu kwa wizi kama hii! Ukiacha fedha zinazoainishwa na bunge hawa jamaa huwa wanapatiwa fedha za siri ambazo wewe na mimi hatujui ni kiasi gani! Kilichotokea ni uzembe na rushwa siwezi kushangaa kama hela za kutunza hayo mabomu huwa zinatolewa ila ndio kama hivyo waswahili husema mbuzi hula urefu wa kamba yake! utakuta jamaa huzitia mfukoni! Wachunguze watajua ila iwe tume huru na ripoti itolewe! Zaidi ya hapo sihafiki ati jeshi liwe mbali na makazi ya watu makazi ya jeshi hutegemea vitu kama strategic location na easier logistics to intended people or property protected! sasa hii philosophia yako ya ati jeshi liwe mbali na watu si sababu za kiusalama na pia jeshi halipaswi kuwa totally isolated to people maana jeshi has to be people centered na si kwa watawala tu! ndo maana sioni mantiki ya kuwaweka our police in total isolation to the public!
 
wewe shy lazima tu utakuwa UVCCM...wahi vipande vya maini na moyo ya wahanga gongolamboto usisahau kupitia pilipili na limau buguiruni ukachemshe supu unywe! hili litatimiza ibada unayoipenda kurudiwa kila mwaka!
 
we shy lazima utakuwa uvccm..pitia vipande vya wahanga, halafu usisahau kununua ndimu na pilipili kachemshe supu unywe!
 
Shy...... Acha upuuzi, tafuta network ya kuweka upuuzi wako sio jf.... Usijione una akili saaana kuliko watanzania wengine.... Sauti ya wengi sauti ya mungu, tusikilize sisi tulio wengi.....
nasisitiza: milipuko imesababishwa na uzembe, hon. Hm & mwamunyange wajiuzulu na kambi zao zihamishwe kabla madhara zaidi hayajatokea!?
 
Back
Top Bottom