Tukio la kutisha mkoani mara!!!!!!!!!

kweli an ubongo usio na kazi ni karakana ya ibilisi! huyu mwandishi nadhani anatakiwa kurudi shule akasome kwanza!
 
nani ameitaja CDM inahusika kwa mchungaji wa Mara?

Msome huyu:
Jamani nafasi ya Boss (Mhariri Mtendaji) wa magazeti haya ipo wazi karibu miaka miwili sasa.
Anayekaimu hiyo nafasi hana sifa za kitaaluma kuchukua nafasi hiyo. Huyu bwana kwa uchu wa hiyo nafasi yuko tayari kuandika chochote so long as habari hiyo itapendwa na Salva, JK, RA, EL na wengine.

Na kwa mwendo huu nadhani watachakachua sifa za waombaji ili kumbeba maana huyu ndiye aliyeapia kwa miungu kwamba Dr. Slaa will never be the URT President.

Ila anapogusa kanisa la Mungu ajue kaingia kwenye anga hatari akumbuke : 1Chroniicles 16:22 Saying; Touch not mine anointed, and do my prophets no harm (KJV)
 
Back
Top Bottom