Tukio au hali ya maisha gani ya maisha ambayo usingependa ijitokee tena?

sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,286
3,107
Katika maisha yako kuna matukio au hali ya maisha mbaya ambayo umewahi kukutana nayo wewe binafsi au kushuhudia kwa jirani, ndugu au nchi yako. Kwa kuwa tunajifunza kutokana na makosa, Je, ni tukio gani au hali ya maisha ambayo usingependa ijirudie tena katika maisha, jirani, ndugu au nchi yako?
Naanaza mimi:

  1. Vita baina ya nchi yoyote jirani yangu kama ile ya mwaka 1978 baina ya Tanzania na Uganda
  2. Hali ya ukosefu wa bidhaa muhimu kama vile sukari na sabuni katika miaka ya 80.
  3. Ajali ya MV Bakoba
  4. ...................................
  5. ...................................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom