Tukielekea 2011 umevunja ndoa za wangapi ??target yako nini 2012

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Yawezekana ni hendisam handBASIASI nk,,...wanawake wengi wakakufanya kama bomba la dawassa kila mtu anavuta anapojisikia..saasa basi tukielekea 2010 wewe ukiwa ama umeoa na unajua kuzini nje ya ndoa dhambi...umezini na wanandoa wangapi??wemevunja ndoa ngapi...nakumbuka kijana mmoja pale MWANZA airport alikuwa na sifa ya kuvunja ndoa za watu mpaka alipotamaniwa na mke wa bossi ikawa mwisho wake kukanyaga airport ya mwanza..ni kijana mzuri sijui kama bado ama ashakufa..lakini katika yoe mnayofanya wapendwa jihadharani na mke mume wa mtukuvunja ndoa ya mtu no dhambi kubwa sana sana ngumu kuamini uhalisia uko pale paleso kuelekea 2011 wewe mwanamke usikate tamaa labda nshazini sana wacha niendeleemungu bado anakupenda na kukusamehe ingia kwenye toba achana na uzinzi 2011hamia rasmi kwa yesu mwache yesu akontrol maisha yako..wakati wa msiba wa remmy wengi wangeona wale vijana wa kikongo waliookoka na watanzania ndio wangejua yesu alivyo mzuri jamani..walikuwa wakipaka marangi ya ajabu ajabu leo hii wako smaaaatiii2011 badilka
 
Back
Top Bottom