Tukatubu!

Taratibuuu..,...! Ibada za freemasons hizo!

Filipo mambo! Kwema? Eti nambie does FREEMANSONS exist kiukweli? ME huwa siamini na huwa naona ni kama hadithi ya kufikirika tu. Please kama unajua let me know or tip me.
 
Last edited by a moderator:
Filipo mambo! Kwema? Eti nambie does FREEMANSONS exist kiukweli? ME huwa siamini na huwa naona ni kama hadithi ya kufikirika tu. Please kama unajua let me know or tip me.

Nenda kwenye jukwaa la Intelligence ukaone watu waliotoa ushuhuda humo. Zipo thread zinaelezea!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi hayanisogelei. Nilishawahi kumpiga chini mkuu wao a.k.a Bel zebul! Hah hah ha hah!
Hahahaaaaa Filipo kumbe unatisha aisee
Mi nikiona yananisogelea nagonga ndofu na kitimoto yanapotea faster
 
Last edited by a moderator:
marejesho si nilikwambia!? Haya sasa, madame B anakukaribisha! Shtuka.....

Ashtuke nini?
Kikao leo kipo au hakipo?
Nina Noah kama Kilo 7 nimetoka nacho Porini,
Ita Wanachama,
na huyo Mzushi sijui anahemea kona gani sahv huko RockCity.
 
Ashtuke nini?
Kikao leo kipo au hakipo?
Nina Noah kama Kilo 7 nimetoka nacho Porini,
Ita Wanachama,
na huyo Mzushi sijui anahemea kona gani sahv huko RockCity.

Tatizo lako ni ile ya "tupo pamoja ila meza tofauti!" Sikuamini!
 
Nilikuwa kwenye meza moja na nyie,ila kuna mtu aliniudhi ndo nikahamia kaunta.

Si unaona sasa unavyosusa haraka! Ndio maana mashaka yanazidi matumaini! Mbona mimi ndiye niliyekuwa nasimamia shoo nzima!? Sikukuona mkuu!
Sasa leo ndio mtaa wa jaluo au Milan?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom