tukalkuleti kidogo

Avatar Myg

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
675
118
Jamani nina swali,kuna jamaa aliona shati zuri inauzwa buku,akaazima jelo kwa mama na jelo kwa baba.Alipoenda kununua shati akapunguziwa bei ikawa 970,jamaa akaona bora apunguze madeni,akalipa sh10 kwa mama na sh10 kwa baba ye akabaki na sh10,sa hapo mama anamdai 490 na baba 490 jumla sh 980 na ile alibaki nayo 990. Swali ni je,sh kumi iko wapi ili hela zote zitimie 1000?

Hapo ndo mathematics inapofeli

Hapana,math haija-fail hapa.Huyu bado anadaiwa sh.980,kama wamemkalia kooni kulipa deni,auze lile shati(sh.970) then aongezee na ile sh.10 aliyonayo mkononi atapata jumla ya sh.980 anayodaiwa,hakuna kilichopotea hapa!

Kama unajua jbu 2pe co mara uyu anasema shat buku mara uyu buku 10,na mim ntasema laki alaaa!

wewe acha uhuni, ukichukua 980 analodaiwa tukiamua kulipa na ile sh 10 aliyobaki nayo atakuwa anadaiwa tsh 970 kwa kuwa kapunguza deni, ukijumlisha deni na ile tsh 10 utakuwa umekosea coz 1000-30=970, so usijumlishe 980+10=wrng, ila chukua 980-10=970 ambalo ndo deni litakalobaki, prov 970+30=1000, am out , hakuna uchawi hapo

jamani nina swali,kuna jamaa aliona shati zuri inauzwa buku,akaazima jelo kwa mama na jelo kwa baba.alipoenda kununua shati akapunguziwa bei ikawa 970,jamaa akaona bora apunguze madeni,akalipa sh10 kwa mama na sh10 kwa baba ye akabaki na sh10,sa hapo mama anamdai 490 na baba 490 jumla sh 980 na ile alibaki nayo 990. Swali ni je,sh kumi iko wapi ili hela zote zitimie 1000?
masaburi yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kiasi alichokopa 1,000/= kwa:
Baba: 500
Mama: 500

Ametumia 970/=:
Gharama kutoka hela ya mama: 485/=
Gharama kutoka hela ya Baba 485/=

Kawarudishia:
Mama 10/=
Baba 10/=

Baki 10/=
Apparently, mpaka sasa ni sawa na kusema mama katoa 485/=+10 na baba pia. Hiivyo kabaki na shs 5 ya mama na shs 5 ya mama which iis ten.
NB: walimu wa darasa la kwanza tumo kibao humu JF

Kiasi alichokopa 1,000/= kwa:
Baba: 500
Mama: 500

Ametumia 970/=:
Gharama kutoka hela ya mama: 485/=
Gharama kutoka hela ya Baba 485/=

Kawarudishia:
Mama 10/=
Baba 10/=

Baki 10/=
Apparently, mpaka sasa ni sawa na kusema mama katoa 485/=+10 na baba pia. Hiivyo kabaki na shs 5 ya mama na shs 5 ya mama which iis ten.
NB: walimu wa darasa la kwanza tumo kibao humu JF

Thats correct!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kiasi alichokopa 1,000/= kwa:

Baba: 500

Mama: 500

Ametumia 970/=:

Gharama kutoka hela ya mama: 485/=

Gharama kutoka hela ya Baba 485/=

Kawarudishia:

Mama 10/=

Baba 10/=

Baki 10/=

Apparently, mpaka sasa ni sawa na kusema mama katoa 485/=+10 na baba pia. Hiivyo kabaki na shs 5 ya mama na shs 5 ya mama which iis ten.

NB: walimu wa darasa la kwanza tumo kibao humu JF

The following user say thanks to you Makanyaga for this useful post.
AVATAR

Back
Top Bottom