S sugi JF-Expert Member Feb 12, 2011 1,392 291 Jul 30, 2012 #1 Wadau hebu tujuzeni huko mlipo,walimu wanaendeleaje na mgomo wao?maana hapa ndo sehemu yetu muhimu ya kupeana taarifa.Tupeni dira tafadhali
Wadau hebu tujuzeni huko mlipo,walimu wanaendeleaje na mgomo wao?maana hapa ndo sehemu yetu muhimu ya kupeana taarifa.Tupeni dira tafadhali
M mamajack JF-Expert Member May 21, 2012 1,156 296 Jul 30, 2012 #2 jamani mbona wameshapost uzi kibao ukielezea suala hilo,wewe nawe wataka ujuzwe pekeyako??????