Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

Shemale ni wanaume wanaoamua kurekebisha baadhi ya maeneo yao ya mwili kama kifuani na kiunoni ili waweze fanana na mwanamke ila kwenye kubadili uume wanashindwa
Unapotosha. Kasome Biology form three ipo hiyo.

Hao watu wapo wanazaliwa hivyo, achana na hao wa kujibadirisha maumbile.
 
Sio kweli, ukweli ni kwamba wanazaliwa hivyo hivyo. Tafta google utajua ukweli kama sekondary ulikuwa unatoka mwalimu wa Bios akiingia
Nchi kama Thailand wako wa kuzaliwa hivyo na wanatambulika kama jinsia ya tatu na hata vyoo vimeongezeka,ukiachana na vile vya wanaume na wanawake,kuna vya jinsia hiyo. Transgenders ndio jina rasmi na wapo male to female na female to male!
 
Kwa ufahamu wangu shemale ni mwanaume dada. Kuna rafiki yangu mmoja alipata huyo yeye alidhania demu kumbe dume dada nikamwabia angalia picha zake zote kwenye profile yake hafla akaona picha mbili moja imeandikwa before akiwa mwanaume na ya pili imeandikwa after hapo kishakuwa dume dada. Halafu huyu huyu rafiki yangu alipata mwanamke mzuri wameshakubaliana kupeana uroda ila huyu mwanamke ana sharti lake anataka 3some na mwanamme wake pia anataka apakuliwe pamoja na yeye. akimaanisha bf wake ni shoga pia.
 
Hii itakuwa sio Tanzania wala Africa
 
shemales wanazaliwa wa kiume ila kwa hisia zao ama sababu wanazijua wao hubadili muonekano wao kuwa wa kike kwa kuongeza vichocheo yaki hormones za kushepu hips,maziwa,nyonga,mata.ko nk ikihali akibaki na uume wake.Na wengi wao utumia pia dawa za kukuza nakuongeza nguvu za kiume.Ukiangalia porno zao wana mihogo mikubwa kuliko mwanaume wa kawaida.Ni aghalabu kukuta aliyezaliwa anazo nyeti mbili ,wengi ndo kama nilvoeleza hapo juu.
 
Wengi wapo Latin America sana Cuba! Na India wapo aisee nimewaona kwa macho yangu kiswahili tunawaita ni matowashi, wahindi wanawaita eunuchs Na gender yao inatambuliwa rasmi na serikali yao! Usiwaogope wameumbwa hivyo ! Muhimu alikua akueleze tu before hujawa surprised! Lkn na wewe una reaction mbaya sana! Sasa ndio nini kutoka baruti ktk mazingira hayo? Unafikiri ye atajisikiaje?
Sasa hapo angefanyaje
 
Duniani kuna watu na viatu:-
232814.jpg
Viatu ni vingi
 
Back
Top Bottom