Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

Duniani kuna watu na viatu:-
232814.jpg
 
Hata mie najua hivo, ni wanaume wanafanya surgery
Wapo wanaozaliwa hivyo..Kitaa tulikuwa na mmoja wa dizaini hiyo..Ila wazazi wake walifanya siri sana..Ilipoanza kujulikana ikabidi wahame...
Alizaliwa na zote mbili sema wazazi wake tangu alipozaliwa wakawa wanamtreat kama mwanaume..Na wote tulikuwa tunajua ni mwanaume..Kumbe mtt wa watu alikuwa na hormones nyingi za kike kuliko za kiume..Kadri alivyokuwa anazidi kukua uanamke ndo unazidi kujionyesha..Wananzengo wakaanza zao za ufukunyuku..Ndo wakaamua kuhama..Ila nikaja kusikia amekuwa sista duu wa nguvu..Mkali balaa
 
Kaka acha hizo. Labda weye hujui kuwa wapo wanawake utakao gwaya kwao akiamua. Hivyop vitasa waweza kuvihesabiwa weye. Tema mate uombe yasije kukukuta. Kuna wamama wameenda shule ya kujihami kisawasawa
aah wap nipigwe na jikeeeee? usinikadirie kwa kuandika kwanza kwa appearance tu atagwaya kabla ya ngumi
 
Wapo wanaozaliwa hivyo..Kitaa tulikuwa na mmoja wa dizaini hiyo..Ila wazazi wake walifanya siri sana..Ilipoanza kujulikana ikabidi wahame...
Alizaliwa na zote mbili sema wazazi wake tangu alipozaliwa wakawa wanamtreat kama mwanaume..Na wote tulikuwa tunajua ni mwanaume..Kumbe mtt wa watu alikuwa na hormones nyingi za kike kuliko za kiume..Kadri alivyokuwa anazidi kukua uanamke ndo unazidi kujionyesha..Wananzengo wakaanza zao za ufukunyuku..Ndo wakaamua kuhama..Ila nikaja kusikia amekuwa sista duu wa nguvu..Mkali balaa
Mpendwa ukimjua wa hivo nishtue nna kazi nae
 
Habari za usiku huu wakuu,

Ngoja niende kwenye point yangu, tokea niazaliwe aisee sikuwahi wa kukutana na hawa wanawake wenye jinsia zetu.

Aisee leo nimeiona duu kuna msichana nilikutana nae kwenye daladala kama siku siku sita nyuma tokapiga stori mbili tatu tukabadilishana number.

Tukaendelea story za kushawishiana za kuvunja amri ya sita tukapanga leo akitoka kwenye sherehe tuonane namimi sijavunga nikatafakari haraka kumleta gheto roho ikagoma nikachukua lodge nikawa namsubili muda ulivyofika anaendea hewani nikamuelekeza hakupata tabu sana kufika.

Alivyofika nikankaribisha na nikamuacha apumzike na akaoge baada ya hapo nikaanza zile foreplay ila nikataka kushika papuchi alikuwa ananiwai mkono usifike chini nikaendelea na sahemu alizo niambia zinamuhamasisha zaidi.

Sasa baada ya wote chini kufanya kazi nikataka kuzama chuvini tooba nakutana mkono wa sweta umesimama yani uume ilinywea muda huohuo yani nilikurupuka na boksa na vest yangu nimemuachia.

Nimeogopa sana yaani mpaka sasa sijalala najitisha mwenyewe na google tu kuwafahamu vizuri ha watu ndo nimelipa hili jina vizuri shemale anayewafamu hawa viumbe anisaidie jamani.
Una bahati ungepewa makonde ya kuleee
 
Umemkatili dada wa watu masikini...papuchi si anayo lakini? ungeishughulikia tu...dyudyu ungeachana nayo. Umemnyanyapaa!
Aaah tatty, naye angeomba mchezo kwa jamaa bora kakimbia
 
Kwenye porn sites nimeona shimeles wengi wenye uume tu sijawahi ona wenye uume na uke kwa wakati mmoja.
Hii kweli. Nami sijawahi kuona wenye jinsia zote mbali na kuwa na shape na sura ya kike.
 
Back
Top Bottom