Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Inauzwaje mkuu
 
Katika maisha yangu yote sijawahi kuuza kitu nilichonunua na sina mpango wa kuanza sasa.

Huo ni uchuuzi.Mimi kituo changu katika maisha si uchuuzi.

Kama kuuza nina vitu vya thamani zaidi lakini sitaki kuviuza.

Kitu kikishapata kuwa cha Kiranga thamani yake inapanda juu sana kiasi hata nikitaka kuuza hakuna atakayeelewa na kumudu kununua.

Yani nikitaka kuuza hata mafuta aliyojipaka Yesu hayatafikia bei hiyo.
Ha haa yaani wewe!
 
Mimi natumia hii ni Tsh 6000 adi 5000/=
 

Attachments

  • 1477036430595.jpg
    1477036430595.jpg
    17.9 KB · Views: 216
Back
Top Bottom