Tujue chanzo ndio tutapata dawa ya HIV

OsamaBinLaden

JF-Expert Member
May 2, 2009
706
3
Baada ya kutoke malumbano tofauti yanayohusu kuenea kwa ukimwi nimeona no bora nilete hili swali kwa wakuu waweze kutoa ufahamu wao

je ni nini chanzo cha ukimwi na ulitokea wapi??

kata shina ili mti usiote lakini ukatapo tawi utaendelea kuoota na kustawi.

wadau tunaomba ukweli wa hilo.
 
kujua chanzo cha ukimwi na unatokea wapi haitakuwa solution kwa sasa, mazee hapa ni kukazana na kutafuta tiba tu, my dear mojawapo ni kuacha zinaa zembe, kwa wake na wanaume.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom