tujuane wanajf

thewords

New Member
Jul 12, 2012
3
1
mimi ndio naingia hapa jamani,nadhani sina haja ya kupiga hodi,mjanja aambiwi karibu,anajikaribisha mwenyewe
 
mimi ndio naingia hapa jamani,nadhani sina haja ya kupiga hodi,mjanja aambiwi karibu,anajikaribisha mwenyewe

Hili ni jukwaa la jocks & gossips na sio jukwaa la kukaribishana, jukwaa la kukaribishana hujaliona? Anyway karibu siku nyingine chunguza majukwaa kabla huja-post
 
Back
Top Bottom