Umeona eeeUmekimbia yaeda chini?
We utakuw neighbour wang kabsaaIlemela
Upo mtaa gani kwani?We utakuw neighbour wang kabsaa
Nipo ilemela mahakamani,ww je?Upo mtaa gani kwani?
Hukohuko mtaa wa kiyenze diwaniNipo ilemela mahakamani,ww je?
Asee!! Itabidi tutafutane siku moja kama hutojaliHukohuko mtaa wa kiyenze diwani
PoaAsee!! Itabidi tutafutane siku moja kama hutojali
Itabidi tu arrange siku ya kuonana wana mwanza oteKumbe tupo wengi Mwanza haya mie butimba
Sasa wewe uko Buhongwa na unapamissi miss mwanza...
moja kati ya sehemu bora kabisa kuishi.
buhongwa moja...
Itabidi tu arrange siku ya kuonana wana mwanza ote
UsagaraHabari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
nlikuwa mwanza mkuu...but now sipo tenaSasa wewe uko Buhongwa na unapamiss