Mgombezi
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 610
- 178
- Thread starter
- #41
mfano mdogo tu jamaa kasema tuanzishe Gazeti la JF, hebu angalia michango ilivyo mingi? hakuna mtu anataka kilimo na ufugaji - ha ha ha
Ukweli ni kwamba hatuwezi kuepuka kuzungumzia juu ya Kilima na ufugaji, hili ndilo eneo pakee ambalo kwetu sisi tunaweza kuanzia. Wenzetu wanazungumzia jinsi ya kwenda kuisha katika sayari ya Mars. kwa hali inavyoelekea baada ya miaka michache tunaweza kujikuta hata eneo hilo limeshachukuliwa na mabepari wanaoingia kwa mgongo wa uwekezaji.