Tujiulize, waliovamia TCU lengo lao hasa lilikua nini?

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
185
Kwa kufikiria tu, kwenye ofisi ya TCU hakuna fedha taslimu. Sasa mpaka watu wamejipanga namna hiyo, wawaleweshe walinzi na kuvunja mpaka kuingia ndani na kutoka, ni nini hasa walichoenda kufanya huko?

Haiwezekani mpango mkubwa kama huo ukafanywa na watu wasiolewa ni nini wanaenda kukifanya. Nina mashaka na data za wanafunzi kama zipo salama. Hata kama ziko salama inatakiwa umakini sana kwa maana mtu anaweza ku hack labda kwa ajili ya ku access data kwa baadae.

Nawasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom