Tujiulize; sinema ya Kova na Joshua Gitui,mtesaji a Ulimboka imeishia wapi?

Serikali ya ccm imejaa watendaji wapuuzi kabisa. Wanateketeza kodi zetu kwa vitu visivyotuletea maendeleo na ambavyo mwisho wake unafahamika toka mwanzo. Suala la Joshua lilijulikana kuwa ni gheresha toka Mwanzo wa sinema. Sasa jana ndo Kova amefahamishwa rasmi ya mahakama na kisha Polisi wanajifanya eti walidanganywa! Ujinga wa first class kama wa Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
Wana Jamii wenzangu,kuna taarifa nimesikia kuhusu ya ile movie yetu ya Dr Ulimboka ,eti yule sterling mwingine Joshua Mkenya amekutwa hana kosa na ile kesi imefutwa,lakini hapo hapo ameshitakiwa kwa kosa la kudanganya.Wenye taarifa kuhusu hili atujuzwe,maanake naona kama ndio part I imeishia hapo,labda kutakua na partII.Shaka langu na wasiwasi wangu ni je hii kesi imekua ikiongozwa kimya kimya na sijawahi kusikia ikimuhusisha mhusika mkuu Dr Ulimboka mwenyewe,angekua na la kutuambia .lakini kwa upande wangu sijawahi kusikia lolote,labda kama kuna anayejua anaweza kutufahamisha zaidi.Ama kweli nchi yetu imejaa filamu nyingi kweli.
 
Bahati nzuri ni tetesi, uhakika tulio nao ni kuwa yuko hapa hapa bongo ila familia yake imemzuia kuongea na vyombo vya habari. Wiki ilopita kuna mwandishi wa gazeti la Mwananchi kidogo achapwe na dadake Dr Ulimboka alipokwenda kwao kufuatilia hizi issues!
Hayo ni mafanikio makubwa kwa mtekaji na kwamba lengo limefikiwa.

 
Bahati nzuri ni tetesi, uhakika tulio nao ni kuwa yuko hapa hapa bongo ila familia yake imemzuia kuongea na vyombo vya habari. Wiki ilopita kuna mwandishi wa gazeti la Mwananchi kidogo achapwe na dadake Dr Ulimboka alipokwenda kwao kufuatilia hizi issues!
Hayo ni mafanikio makubwa kwa mtekaji na kwamba lengo limefikiwa au kuvukwa.

 
sitaki kuamini kuwa ile sinema iliyoanzishwa na kamanda kova na bwana joshua gitui,mkenya aliyedaiwa kumteka na kumtesa ulimboka imeisha hivihivi.alifikishwa mahakamani kimyakimya bila watu kuona wala kujua.haikujulikana kawekwa gereza gani na kesi yake itatajwa tena lini.tuwe makini sana jamani hata na huyu aliyemuua mwangosi asije akatoweka kama huyu wa kova/ulimboka.

kwani ushawahi kusikia tena kesi ya muuwaji wa mwangosi? Hiyo ishabaki historia
 
Tutoe maoni yetu katiba mpya iwe na kipengele cha kuwawajibisha viongozi wa wenye dhamana kama Kova kuwajibishwa kisheria wanapodanganya umma kama hii sinema ya huyu Mungiki fake!

Mkuu huenda hata katiba ya zamani ipo ila wa kumwajibisha atakuwa nani wakati ndo aliyemtuma
 
Ina mana KOVA alikuwa hana ushahidi?, kwa hiyo alitudanganya?, ili iweje?


Ushahidi si walipewa na Askofu Gwajima? Au walimpuuza! Maana nakumbuka huyo Askofu aliita press conference akafafanua vizuri tu. Au pengine Polisi walipanga hili game ili kutuliza upepo.
 
Back
Top Bottom