Tujikumbushie MOVIES za zamani za KIZUNGU!

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
Dah! Yale Mamovies ya kina Chuck Noris, Jet Lee, Anold, ect nikiyakumbuka waga yananikumbushaga mbali saana!
Enzi hizo tulikuwa tunazamia katika mabanda ya kuonesha hzo movies. Tulikuwa tunayaita 'Mbavu za Mbwa' unalipia kihamsini chako unachoma ndani!
Wale wezangu na mimi ukikodisha hizo VHS kwa Video Library, Baba au Mama anakugombeza kinyama eti utachafua deki na hizo VHS zako, kwa hiyo wazaz wengi walikua wana nunua sana hizo kanda na ndani huwezi ukakosa ile ''HEAD CLEANER"(kwa wanaouzikumbuka)
Na kwa zile kanda zilikuwa zimetafsiriwa kwa kiswahili zilijaa uwongo mtupu. aisee wale walokuwa wanatafsiri(majina yao yamenitoka) walitupotosha sana!
Muvi kama Delta Force, The Bodyguard, Seven Kids zilitamba sana...ebu nawewe nikumbushe mamovies mengine yalofunika
 
Enzi za kina John Travota,James Bond,Luck seven, kulikuwa na watoto flani walicheza picha moja ilikuwa inaitwa The Good Boy ilikuwa ni soo.
 
Seven ninja....amita bacha,na kuna yule mhindi alikuwa nacheza na wanyama sana.....achana za kina anord shwazineger....dah....nakumbuka tuliambiwa tumenye karanga banda flan kabla ya kuwekewa movie...bido moja harafu jamaa kaweka karanga unga eti ni sumu tusizile.....ha ha...dogo mmoja hatafuna .... hakufana next day alikuta karanga nusu..
 
Kabhi kabhi mere dil- Amitabh Bachan

Last edited by a moderator:
Dah! Yale Mamovies ya kina Chuck Noris, Jet Lee, Anold, ect nikiyakumbuka waga yananikumbushaga mbali saana!
Enzi hizo tulikuwa tunazamia katika mabanda ya kuonesha hzo movies. Tulikuwa tunayaita 'Mbavu za Mbwa' unalipia kihamsini chako unachoma ndani!
Wale wezangu na mimi ukikodisha hizo VHS kwa Video Library, Baba au Mama anakugombeza kinyama eti utachafua deki na hizo VHS zako, kwa hiyo wazaz wengi walikua wana nunua sana hizo kanda na ndani huwezi ukakosa ile ''HEAD CLEANER"(kwa wanaouzikumbuka)
Na kwa zile kanda zilikuwa zimetafsiriwa kwa kiswahili zilijaa uwongo mtupu. aisee wale walokuwa wanatafsiri(majina yao yamenitoka) walitupotosha sana!
Muvi kama Delta Force, The Bodyguard, Seven Kids zilitamba sana...ebu nawewe nikumbushe mamovies mengine yalofunika

We kumbe bado mdogo sana..... hayo unayoyasema mpaka sasa yanafanyika

Sisi enzi zetu tunaangalia sinema kulikuwa hakuna cha video wala nini.........Tunaenda kuangalia sinema New Chox au Empire.......na hiyo ni baada ya kuomba sana hela kwa wazee au kuwaibia kiaina......Enzi za UDA na KAMATA.
 
Wale wa mwanza watakumbuka ukumbi zlikuwa ni Liberty na Tivoli. cinema

Nkumbuka nikiwa mdogo niliona hii movie iliuwa na wimbo huu i am disco dancer

Jimy jimy Jimy Jim Aja

Taaarzan Tarzaaaaan

Filamu za kihindi Icon yake ilikuwa nyimbo. Na hakuna mapenzi bila wimbo teh teh teh

Aiseeee kwa kweli tumetoka mbali .Ngoja leo nitafute filamu hizi za kindi nijikumbushe
 
Last edited by a moderator:
Na tamthilia za ITV nazo zilibamba miaka fulani,vitu kama RENEGADE,TIME TRAX,WALKER TEXAS RANGER,ROBOCOP daaah!
 
We kumbe bado mdogo sana..... hayo unayoyasema mpaka sasa yanafanyika

Sisi enzi zetu tunaangalia sinema kulikuwa hakuna cha video wala nini.........Tunaenda kuangalia sinema New Chox au Empire.......na hiyo ni baada ya kuomba sana hela kwa wazee au kuwaibia kiaina......Enzi za UDA na KAMATA.
Babu bado upo tu.kumbe tabia ya kuiba huwa inaanza utotoni?
 
Bonge la movie linaitwa No Retreat No Surrender,akina Michael Didcoof,Sugar Suge,usipime! ilikuwepo ile nyingine ya Alex akiwa mjeshi na Vandame mateka wanatupwa kwenye bwawa la mamba...enzi hizo kabla ya movie inaanza miziki ya akina Loketo,Mabere,marehemu Pepe Kalee,mitaa ya majengo shy town....za bongo sijuhi zina creativity gani?
 
Hizo umenikumbusha mbali sana mambo ya "Butiama" ni Loketo, Mabele, nk
 
We kumbe bado mdogo sana..... hayo unayoyasema mpaka sasa yanafanyika

Sisi enzi zetu tunaangalia sinema kulikuwa hakuna cha video wala nini.........Tunaenda kuangalia sinema New Chox au Empire.......na hiyo ni baada ya kuomba sana hela kwa wazee au kuwaibia kiaina......Enzi za UDA na KAMATA.
Na yale mabasi ya TTco, tukitamka titiko.
 
Dah! Yale Mamovies ya kina Chuck Noris, Jet Lee, Anold, ect nikiyakumbuka waga yananikumbushaga mbali saana!
Enzi hizo tulikuwa tunazamia katika mabanda ya kuonesha hzo movies. Tulikuwa tunayaita 'Mbavu za Mbwa' unalipia kihamsini chako unachoma ndani!
Wale wezangu na mimi ukikodisha hizo VHS kwa Video Library, Baba au Mama anakugombeza kinyama eti utachafua deki na hizo VHS zako, kwa hiyo wazaz wengi walikua wana nunua sana hizo kanda na ndani huwezi ukakosa ile ''HEAD CLEANER"(kwa wanaouzikumbuka)
Na kwa zile kanda zilikuwa zimetafsiriwa kwa kiswahili zilijaa uwongo mtupu. aisee wale walokuwa wanatafsiri(majina yao yamenitoka) walitupotosha sana!
Muvi kama Delta Force, The Bodyguard, Seven Kids zilitamba sana...ebu nawewe nikumbushe mamovies mengine yalofunika

Umenikumbusha mbali.... Asante...

[h=2]The Following User Says Thank You to Pat Gucci For This Useful Post:[/h]
Ashadii (Today)
 
Cku hizi watu utaskia "naenda Century Cinemax Cinema at Mliman City kuangalia latest movies!"
enzi ze2 hayakuwepo hayo mambo!
 
Back
Top Bottom