Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Na miss Dominic Chilambo wa kanda ya ziwa. Alikuwa akikutajia line up ya wana TP Lindanda Kirumba unajiskia kama umeshafungwa vile. Halafu kuna Uncle J Nyaisanga, simwoni kwenye list. Kile kipindi chake cha muziki usiku (Disco Show?). Anakuambia leo nimekuandalia vibao ywa kukutoa soksi na na viatu kubakia pale pale. Pia kuna akina Mohamed Kadilu na Bakari Msulwa (mrindimo). Na huyu mama ya Tamwa hujamweka. Pia alikuwepo mwamama mmoja alikuwa anatangaza kipindi cha Kodi na Mapato. Sijui kama hiki kipindi bado kipo.
Vijeba utawajua tu
 
Mnanikumbusha mbali sana hasa kwenye kle kipindi cha mwisho wa wiki kilichokuwa kikiendeshwa na Enock Ngombale cha club raha shoooooooooo pamoja na mechi za uwanja wa Taifa zinazoletwa kwenu na watangazaji wako Sued Ramadhani Mwinyi a.k.a Mnyamwezi wa Tabora pamoja na Juma Nkamia mchezo huo usiombe mitambo ikatike.Ila kuna mtu mmoja hajatajwa Marehemu Iddi Rashidi Mchata.
 
Sambamba na watangazaji waajiriwa wa RTD, kulikuwa na Watangaji wakitangaza vipindi vya makampuni/taasisi. Hawa pia walikuwa maarufu sana kama:

  1. Padre Lucas Massawe na Padre Kihaule- Dini TEC
  2. Sheikh mkuu (Rip) Hemed Bin Jumaa Bin Hemed na Sheihk Kilemile- Uislam hasa mawaidha Ijumaa kama saa nane hivi
  3. Ibrahim Chemgege- Ushirika
  4. Ranfred Masako- Chakula na Lishe
  5. Akajase Mbamba
  6. Buluba?- Taasisi ya Kuzuia Rushwa
  7. Mohamed Mhina/ Mwamunyange- Kipindi cha Polisi
  8. Zainabu Vullu-
  9. Zainabu Mwatawala- kipindi cha Chuo cha Mzumbe
  10. Yule kaka akitangaza kipindi cha CDA
  11. Yule wa kipindi cha Ukulima wa Kisasa
  12. Pasco wa JF
 
Asante Pretty Preta,

Kweli huyo Bala na Pasco ndo magwiji wa kuwafahamu. How touchy it is Preta kuchangia thread yangu! mmh nimefurahi sana. Ubarikiwe
 
Sambamba na watangazaji waajiriwa wa RTD, kulikuwa na Watangaji wakitangaza vipindi vya makampuni/taasisi. Hawa pia walikuwa maarufu sana kama:
  1. Padre Lucas Massawe na Padre Kihaule- Dini TEC
  2. Sheikh mkuu (Rip) Hemed Bin Jumaa Bin Hemed na Sheihk Kilemile- Uislam hasa mawaidha Ijumaa kama saa nane hivi
  3. Ibrahim Chemgege- Ushirika
  4. Ranfred Masako- Chakula na Lishe
  5. Akajase Mbamba
  6. Buluba?- Taasisi ya Kuzuia Rushwa
  7. Mohamed Mhina/ Mwamunyange- Kipindi cha Polisi
  8. Zainabu Vullu-
  9. Zainabu Mwatawala- kipindi cha Chuo cha Mzumbe
  10. Yule kaka akitangaza kipindi cha CDA
  11. Yule wa kipindi cha Ukulima wa Kisasa
  12. Pasco wa JF

Michael Katembo - Asilia Salaam
Uncle J.Nyaisanga - Misakato
Salim Seif Mkamba -Mazungumzo baada ya habari
 
Swedy Mwinyi, Juma Nkamia na Abubakari Jongoi-mpira
Sara Dumba-
Halima Kiemba-Morogoro
Ben Kiko-kanda ya kati
 
Swedy Mwinyi, Juma Nkamia na Abubakari Jongoi-mpira
Sara Dumba-
Halima Kiemba-Morogoro
Ben Kiko-kanda ya kati

Ni Abubakari Liongo, Jongo alikuwepo sikumbuki vizuri Jina lake la kwanza it was Juma or....
Halima Mchuka
Ben Kiko - Kanda ya Kati then Kanda ya Magharibi
Nikumbusheni aliyekuwa mwakilishi wa kanda ya ziwa, jina lake nimilisahau alikuwa akitangaza mpiria pia alikuwa najua kweli kuipamba timu ya Pamba enzi hizo
 
Michael Katembo - Asilia Salaam
Uncle J.Nyaisanga - Misakato
Salim Seif Mkamba -Mazungumzo baada ya habari

DOMINICK CHILAMBO - Kanda ya ziwa, kumbuka alivyokuwa akitangaza mpira Pamba maybe na simba/yanga au malindi ya zanzibar, utapenda utadhani na wewe uko uwanjani
Siku hizi sipendi hata kusikiliza mpira unaotangazwa redioni hauna mvuto kabisa
 
Hello Guys,
Nilimaanisha watangaza vipindi ambao hawakuwa waajiriwa wa RTD. Mfano kwa siku hizi unaweza kusema Mlaki (uchumi wetu ITV), au zamani Paschal Mayala (Kitimoto ITV) n.k.
 
Kutoka hapa Butiama Musomaa.............; Mimi ni Geoorge Malatuu w-a Ii-------Tt--------Vv..! (ITV)
 
Back
Top Bottom