Tujikumbushe walio bungeni isivyo halali

A land of Clowns that has not been named yet..................

1) Mchungaji Lwakatare
2) Profesa Maji maerfu
3) yule dada anayevaaga kikuku, anaimbaimba hivi.....yule ambaye ni chakula ya the leader of them Clown
4) Kibajaji
5) ,........
 
Aeshy Hillary Sumbawanga mjini kupitia tiketi ya ccm ambaye ni mhitimu wa kidato cha pili lakini hakufanya mtihani wa baraza wa kidato cha pili,walimchakachua mzee Nobert Yamsebo aliyekuwa mkuu wake wa shule na aliyemfukuza akiwa kidato cha pili, mzee aligombea kupitia cdm uchakachuz uliongozwa na mkuu wa wizara aliyekwenda kwenye ofisi za mkoa akiwa amejificha ndan ya gari aina ya toyota v8 na baadaye kutoka akionyesha vidole viwili juu kama ishara ya cdm...
 
Katika uchaguzi uliopita kuna watu waliweza kuingia bungeni bila matakwa ya wananchi, naomba tusisahau hili maana wabongo huwa tunasahau haraka, naanza kuaja mmojawapo
(1) Gozibert Blandes wa karagwe aliyetangazwa kwa mtutu wa bunduki na kusindikizwa uwanja wa ndege chini ya ulinzi mkali,

Naomba kuwakilisha.

Mkuu nashukuru kwa kunijuza,binafsi sikuwa na taarifa hiyo tena nimeshangaa,ila kutoka CCM ni wengi sana walioko bungeni bila ridhaa ya wananchi bali ni kwa ridhaa ya POLISISIEMU.hata madiwani wapo akiwepo diwani wa kibonde maji B kule mbagala,akimtangaza diwani afisa mtendaji kata alikuwa ndani ya defender ya polisi na alipomaliza aliondoka na gari hilo na hakurudi tena ofisi hiyo na kuhamishiwa kata nyingine.
Kwa upande wa wabunge,mbunge mwingine ambaye yuko bungeni si kwa ridhaa ya wananchi ni Mbunge wa Shinyanga mjini bwana Masele nae alitangazwa na polisisiemu wakimchunga na siku hiyo alitoweka shinyanga mpaka baada ya muda aliporudi tena.wakuu endeleeni kutukumbusha
 
JOSEPH SELASINI wa Rombo

Mkuu are you serious?anyway yawezekana una habari juu yake hebu fafanua ni vipi hakushinda kihalali?kwamba alichakachua matoke au alitumia hela sana kwa maana ya rushwa au ni vipi umemuorodhesha hapa?
 
Yule jamaa kibaha somebody koka nahisi mwizi mbaya.Aliiba hadi kura za raisi ajiongezee yeye manake za ubunge hazikumtosha

Eeeh mkuu nakumbuka kibaha mabimu yalipigwa sana nadhani hali ya hewa ilichukuwa muda sana kutulia,kama sikosei hata mgombea wa chadema alitiwa ndani wiki moja au mbili baada ya matokeo ya uchaguzi yakiwa yameshatangazwa anyway kwa mkazi wa jimbo la kibaha atukumbushe kilichojiri
 
Mwizi mkubwa anaitwa Juma Njwayo wa magamba jimbo la Tandahimba!Aligalagazwa mbaya na Kijana mdogo anaitwa Katani wa CUF!Matokeo yalivyotangazwa nyumba yake wananchi waliipiga moto!Na tangu ametangazwa jimboni kafika mara moja tu tena kulikuwa na ziara ya JK akiogopa kichapo!!
 
A land of Clowns that has not been named yet..................

1) Mchungaji Lwakatare
2) Profesa Maji maerfu
3) yule dada anayevaaga kikuku, anaimbaimba hivi.....yule ambaye ni chakula ya the leader of them Clown
4) Kibajaji
5) ,........

Ha..ha..ha Bull's-eye shot.
 
Katika uchaguzi uliopita kuna watu waliweza kuingia bungeni bila matakwa ya wananchi, naomba tusisahau hili maana wabongo huwa tunasahau haraka, naanza kuaja mmojawapo
(1) Gozibert Blandes wa karagwe aliyetangazwa kwa mtutu wa bunduki na kusindikizwa uwanja wa ndege chini ya ulinzi mkali,

Naomba kuwakilisha.
Halima Mdee-Mahakama imefuta kesi siyo kwamba hana kosa, bali wahurumia gharama za uchaguzi mdogo na slogan kwamba siyo sahihi upinzani kupingana wenyewe bali kukipinga chama tawala(SLAA)
 
STEVEN KEBWE KEBWE wa SERENGETI huyu alishirikiana na wale wanaojiita vigogo wa sisiemu wilayani na vidampa flani hivi wanaitwa maafisa watendaji na waratibu elimu,kabla ya GACHUMA hajaenga kumwaga mamilioni ka alivyoagizwa na mkuu wa kaya:alien:
 
Jakaya Kikwete - Tanzania. Masanduku yaliyokwisha pigiwa kura yaliletwa kutoka Zambia.
 
Mawakala wawe macho wasikubali kurubuniwa kwa vijisenti, kofia, fulana, pilau na soda:nerd:
 
Nashindwa kuwaelewa baadhi ya wana JF, kwa nini hawawezi kuandika kiswahili fasaha na sanifu au ndio wale waliotoka shule za kata?

HAWAFAI HATA KUWA WAHUDUMU WA OFISI
Mkuu Kiswahili ni Lugha ngumu sana. Watanzania wengi hawaielewi hasa katika kuandika. Pia kuna lafudhi ambazo zinatuathiri katika matamshi na maandishi ya kiswahili. Wachaga wengi hawawezi kutamka neno nchi lazima atatamka nji! Mhaya hawezi kutamka neno ng'ambo yeye atakuambia ngambo! Mbondei atakutamkia kupunzika badala ya kupumzika. Mkurya hana kitu kinachoitwa la yeye kulala atakutamkia/kuandikia kurara.

Mkuu ndiyo lugha yetu hiyo pamoja na lafudhi zetu. Wengine pia unakuta wako nje ya Tanzania muda mrefu hivyo hata matamshi yanakuwa tabu. Unajua tena raha ya lugha uinene kwa ngeri, vijazi na visifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom