Tujikumbushe Viwanda/Mashirika alivyoacha Nyerere lakini kwa sasa nimarehemu

4.shirika la reli na mahoteli yake
5.ATC
.

Linalonisikitisha zaidi ni ATC. Watalii tunaweza kupata wengi labda kuliko nchi yoyote ya Afrika lakini tume fail kuendesha shirika la ndege! Haihitaji kuwa mtaalam kugundua kwamba tungekuwa na shirika zuri la ndege tungetangaza zaidi jina la nchi, kuendeleza utalii (Bara na Zanzibar), kutengeneza ajira na hivyo kupata faida zaidi. Kama Precision Air wanakwenda vizuri east Afrika, nchi kushidwa ku run ATC ni aibu kubwa!
 
Back
Top Bottom