Tujikumbushe UMBWE

Umemaliza mwaka gani Mti safi Mkuu????

Something like 15yrs back....no more details:D
But the fotoz are recent (some 4months back)....Hivi Mbise bado yupo? Tulikua tunamwita mbu.....
BTW: Kuna mnamkumbuka Kisanji aka Shati? alikua secondmaster kabla ya '93 (by then Shayo akiwa mkuu wa shule), yupo Lindi ni secondmaster bado.
Regards.
 
Lyamungo was the modest school wacha utani kabisa! Hard working, na kwa ulimwengu wa sasa ni kwa vile tu baadhi ya wasimamizi/management hawakuwa makini ile shule ni sawa na Roya Palm Moven Pick kwani ni shule chache sana zina swimming pool and of such an architecture. Kwa aliyesoma pale atakubali baada pia ya kupata exposure ya shule nyingine.

Mshiiri ndugu yangu mi Lyamungo nimepiga pale aka nne ... Shule ilikua ya ukweli yenye discipline master noma Nyela.Lyamungo na Galanos kama walikopi na kupaste
 
Mnakumbuka ile mechi na lyamungo? ilipopigwa kengele ya menyu tu tukakimbilia menyu mkatupiga bao??
Iliniuma sana ila sikuile ilikwa ni siku ya Chui=Uhali + wanakwaya=Samaki + kabich majani 2 + maji ya moto yenye chumvi na Ugali.
Acha kabisa hiyo menyu ukiwa huna kibakuli cha mchuzi msosi wote unageuka uji

Hatari Ila ilikuwa bonge la menyu by that time.

Big Up Mzee Manase Na Komandoo wapinshi mashuhuri wa Lyamungo.
 
Mzee Manase alikua mbabe sana ndugu yangu.... Hiyo siku ya mechi ndio ile siku Umbwe walipovunja kile kioo cha Lango la kuingilia?Unamkumbuka mzee Uombwe(RIP) na Tracker lake la Makeresho? Umesahau mchele na maji yenye harufu ya nyama siku ya alhamisi?
 
Thanks kwa kunikumbusha ila jina lake haswa huu mchele sijui tulikua tunauita nini?
Halafu mzee Ofoo na lile tracker acha kabisa naona kama ndio nalisukuma na halitaki kuwaka.

Ila manase kama ulikua unajua miji mikuu ya nchi mbalimali duniani, mzee acha kabisa anakupa menyu mpaka unamkubali.
Ole wako sasa ukosee unapigwa chinjo Balaa.

Mambo ya Top Layer Vipi ???
 
Mshiiri ndugu yangu mi Lyamungo nimepiga pale aka nne ... Shule ilikua ya ukweli yenye discipline master noma Nyela.Lyamungo na Galanos kama walikopi na kupaste

mkuu wacha kabisa...wewe umesoma enzi ya nyela akiwa mwalimu wa nidhamu?alikuwa akifundisha kiswahili yule...enzi zetu alikuwa shoo....we!
 
Dah wadau nimesoma gazeti la Majira na kugundua kwamba kumbe mhe.Basil Pesambili Mramba naye ni mdau mwenzetu wa Umbwe,yeye alisoma O-level hapo mwaka 1955-1960
 
mkuu wacha kabisa...wewe umesoma enzi ya nyela akiwa mwalimu wa nidhamu?alikuwa akifundisha kiswahili yule...enzi zetu alikuwa shoo....we!

Shoo alikua mwalimu wa nidhamu baada ya Nyela.Kipindi hicho Lairumbe kiranja wa nidhamu mmasai yule alikua ni soo.Nakumbuka watoto wa machame girls walikuja kufuata pepa pale Lyamungo Lairumba akawadaka walikiona cha mtema kuni
 
Unakumbuka sereka wewe Blatanda? Lobilo ulimuacha? vipi amenyoa zile ndevu zake?

Vipi wale wasichana wa day uliwaacha almanusra nioe ndugu kuna mmoja alining'ang'ania mpaka mlimani!!!

uMESHAWAHI KUWEKA MAPALACHICHI KWENYE UJI LOL?

wakati wa kiangazi lile vumbi unalikumbuka? da mzee natamani siku niende tu kutembelea,

Twende kulia twende kushoto those was good days I missing the place.

Dah great days.........

Ulimwacha headmaster nani??

waberoya
 
Dah wadau nimesoma gazeti la Majira na kugundua kwamba kumbe mhe.Basil Pesambili Mramba naye ni mdau mwenzetu wa Umbwe,yeye alisoma O-level hapo mwaka 1955-1960

Daha!!!!!!! hatutaki ,tunamkana, hatumjui kasoma Mlama au Lyamungo, wamekosea shule.....

haiwezekani shule ina kanisa pale pale itoe fisadi no way!!!!!

waberoya
 
Unakumbuka sereka wewe Blatanda? Lobilo ulimuacha? vipi amenyoa zile ndevu zake?

Vipi wale wasichana wa day uliwaacha almanusra nioe ndugu kuna mmoja alining'ang'ania mpaka mlimani!!!

uMESHAWAHI KUWEKA MAPALACHICHI KWENYE UJI LOL?

wakati wa kiangazi lile vumbi unalikumbuka? da mzee natamani siku niende tu kutembelea,

Twende kulia twende kushoto those was good days I missing the place.

Dah great days.........

Ulimwacha headmaster nani??

waberoya

Waberoya,,Sereka nalikumbuka sana,LOBILO nilimuacha alikuwa akikukamata kwenye anga zake anaanza kusema 'kijana kijana kijana angalia sana utaumiaaa',lol,,Vumbi nalikumbuka kwa sana tu,mi nilenda mwaka 2001 kutembelea na bahati nzuri nilikutana na LOBS....
 
Unakumbuka sereka wewe Blatanda? Lobilo ulimuacha? vipi amenyoa zile ndevu zake?

Vipi wale wasichana wa day uliwaacha almanusra nioe ndugu kuna mmoja alining'ang'ania mpaka mlimani!!!

uMESHAWAHI KUWEKA MAPALACHICHI KWENYE UJI LOL?

wakati wa kiangazi lile vumbi unalikumbuka? da mzee natamani siku niende tu kutembelea,

Twende kulia twende kushoto those was good days I missing the place.

Dah great days.........

Ulimwacha headmaster nani??

waberoya

Wakati naondoka Headmaster alikuwa ALEX MSELLE
 
Unakumbuka sereka wewe Blatanda? Lobilo ulimuacha? vipi amenyoa zile ndevu zake?

Vipi wale wasichana wa day uliwaacha almanusra nioe ndugu kuna mmoja alining'ang'ania mpaka mlimani!!!

uMESHAWAHI KUWEKA MAPALACHICHI KWENYE UJI LOL?

wakati wa kiangazi lile vumbi unalikumbuka? da mzee natamani siku niende tu kutembelea,

Twende kulia twende kushoto those was good days I missing the place.

Dah great days.........

Ulimwacha headmaster nani??

waberoya

Waberoya,,,umemaliza mwaka gani mti safi??
 
Du,
1. Mambo ya mti safi bwana- we acha tu! Basi mimi nilisoma in mid 80's- kubwa nalokumbuka ni stiff competition darasani. Ilifika wakati O level tunasoma kutafuta single digit na siyo division one! Nakumbuka form four tulimaliza 70 na division one zilikuwa 42!

2. Hivi mnamkumbuka Kirama wa Biology? Maria Gebken wa Book Keeping? Na Kuzwayo yule Mzulu? Na pia Tombalbaye yule Mganda? Hivi hawa wako wapi?

Nilisikia yule Headmaster Mtui alishafariki- aliniokoa kweli- sitamsahamu- unajua ujana tena nilifumaniwa na dem kule Sweken- basi yaani ilikuwa nifukuzwe shule- basi Headmaster akasema nionywe na kuchapwa tu mboko- ndo nikaachiwa sitomsahau! Sema aliuliza kwanza maendeleo yangu darasani- yalikkuwa poa!
 
Waberoya,,,umemaliza mwaka gani mti safi??,,,mimi A level nimemaliza May 2001

Samahani kuchelewa kujibu mkuu, nimemaliza mwaka 1997, nahisi ulikuwa hujaingia bado, -so mimi mzee kidogo.

Huyu jamaa ALEX MSELLE ALITOKEA Old Moshi, alitukuta pale.

Alikuwa mnoko kishenzi, ila nasikia akirudi home mke wake anamtuliza, ''yaani mama anatawala nyumba''

Aisee jamaa sura yake tu akikuangalia adhabu tosha!

May be mpaka leo bado yeye, una taarifa zozote?
 
Napakumbuka sana kwa Wense, tulikuwa tukinywa kapombe kamoja kanaitwa banana, inabidi chupa yake uifungue kwa timing kama vile wanzuki, ukiifungua ovyo inaishia kwenye uso wako! Sidhani kama shule ile imepata kuona beki mbili kama mimi!
 
Dah wadau nimesoma gazeti la Majira na kugundua kwamba kumbe mhe.Basil Pesambili Mramba naye ni mdau mwenzetu wa Umbwe,yeye alisoma O-level hapo mwaka 1955-1960

Wakati mnasoma ninyi lile somo lilikuwa bado lipo? au kipindi chenu lilikuwa limefutwa?
 
Samahani kuchelewa kujibu mkuu, nimemaliza mwaka 1997, nahisi ulikuwa hujaingia bado, -so mimi mzee kidogo.

Huyu jamaa ALEX MSELLE ALITOKEA Old Moshi, alitukuta pale.

Alikuwa mnoko kishenzi, ila nasikia akirudi home mke wake anamtuliza, ''yaani mama anatawala nyumba''

Aisee jamaa sura yake tu akikuangalia adhabu tosha!

May be mpaka leo bado yeye, una taarifa zozote?

Yap Baba Mselle...mzee alikuwa hachekei ufisadi, dizaini flani hivi alikuwa conservative sio kama Tango. Ila kuna yule aliyekuwa Second Master akiitwa "Victor" alikuwa anajisikia kinoma noma...jamaa kutembea ilikuwa kwa maringo, kuongea maringo kweli cheo ni nuksi. Tulikuwa tunamwita "Abacha", maana alikuwa dikteta flani hivi. Kuna siku ametoka kupiga mipombe pombe yake huko Sweken sikumbuki kulikuwa za zali gani pale shule, nashangaa tunapangwa mstari pale basketball court jamaa alikuwa na guts za nguvu akaanza ku mpitia mwanafunzi mmoja mmoja na kumnusa mdomo kama amekunywa pombe ama la. Kweli waalimu wetu walikuwa na muda wa kuchezea.
 
Mzee wa Mti Safi Sekondarii ya Juu, ngoja nikuongezee vijineno vingine vya Umbwe:
1: Bonge manayake Ugali kwa hivyo ukisikia mwanafunzi anasema leo ni dabo "B" maana yake ni Bonge Binzi (Ugali kwa Maharage.
2: Nyango ilimaanasha Nyama
3: Kugonga Nyango ilikuwa na maana tofauti kabisa; maana yake kujamihiana
4: Mbuzi kwa Umbwe ilimaanisha Mkate wa Arusha
5: Kuna neno liliitwa Slaidi hili lilimaanisha eneo mbele ya duka la shule ambalo lilitumiwa na wanafunzi (wakati ule ikiwa Umbwe Dume) kujiliwaza kwa kuangalia wanawake wa kikibosho wakipita kwenye barabara iliyoko pembeni. kitendo hicho kilijulikana kama kuslaidi; afu kulikuwa na mtu mmoja akijulikana kama Mzee wa slaidi.
6: Kupiga Dipu maana yake ni kuvamia jikoni au kwenye meza ya chakula ya jirani na kuchukua msosi.
Darasa la kidato cha V cha mwaka 2001/2002 lilijulikana kama Jimbo la Ei Wani na Monita wake akijulikana Kama Mbunge wa Jimbo la Ei Wani. Jimbo hili ndilo lilileta mageuzi ya matumizi ya vyombo vya kunywea Sifongo au kwa kifupi Fongo. Kabla ya hapo vilikuwa vinatumika vikombe vya aluniniamu ambavyo avikuleta urahisi wa kupiga dipu ukizingatia Mti Safi kulivyokuwa na Fulu Kiyoyozi. Jamaa wa jimbo la Ei wani wakaamuwa kuwa wanatinga Bwalo na shani kwaajili ya kunywea uji. Sahani hiyo ilikuja kujulikana kama NINGA; kwa hiyo ukisikia siku hiyo mtu anakwambia nimekata Ninga tatu ujue huyo kafuta sahani tatu za uji. Cha ajabu hakuna kusinzia.

Ulimtaja Mwalimu Lobilo, ngoja nikukumbushe na wengine: Walikuwepo kina Jogoo ambaye alikuwa na Mpenzi wake aliyekuwa nafanya kazi za uhudumu akiitwa Kuku. Kwahiyo ilikuwa vijana wakimwona jamaa wao hujifanya kuwika kama jogoo; wacha jamaa anavyofyumu. Kuna mwalimu mwingine alijulikana kama Zimwi; mwalimu huyo aliskuwa akisema heri yeye anaitwa Zimwi lakini anashusha Nondoz kuliko kuitwa Lobilo.

Kwa leo nakomea hapa
 
Mzee Issa Lubuva,
Mimi nilisoma mid 80's hivyo hawa walimu wengine Lobilo na Zimwi sitowafahamu. Ila Kuku namkumbuka.. wakati wetu alikuwa akifanya kazi za ndani kwa 2nd Master. Interesting kujua alikuja pata kazi ya uhudumu.
Ila sifongo, mabonge, vinyango na mbuzi.. yote yalikuwepo wakati wetu mzee!
Yaani umenikumbusha mbali sana!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom