Tujikumbushe:The Wish which im Going to Grant.

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
Nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana, nimeonewa sana katika hili..Tunahutubia nchi nzima na kusema waziri mkuu amefanya hiki, amefanya hiki, amefanya hiki..bila kumsikiliza..mi nadhani the wish which im going to grant ni uwaziri mkuu, nadhani tatizo ni uwaziri mkuu kwamba ionekane waziri mkuu ndio amefanya haya ionekane waziri mkuu ndio amefanya haya tumuondelee heshima au tumuwajibishe..nimetafakari sana kwa niaba ya chama changu kwa niaba ya serikali yangu nimeamua kumwandikia rais barua ya kumuomba niachie ngazi! - E.Lowasa
 
Sisi hatukushauri popote kuwa waziri mkuu ajiuzuru. Ukurasa wa ...kwenye ripoti ya kamati yangu, Tumesema waziri mkuu apime uzito na aamue mwenyewe. Tunashukuru,kapima uzito na kuchukua hatua. Kwa ili kamati yangu inampongeza mh.waziri mkuu kwa ujasiri wake,wa kupima uzito na kuchukua hatua...H.Mwakyembe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom