Tujikumbushe: NANA wa Kaole Sanaa Group

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
185909_395417760519830_712626762_n.jpg
Yule aliyekuwa Maarufu miaka ya 2002 na kinaBi Staa, Kibakuli, Mhogo Mchungu, Kingwendu, Bi Hindu, Sandra,
Nora, Swebe kwenye sanaa za maigizo, alienda kuishi South Africa na sasa karudi Bongo!
 
Nana kuwa staa haimaanishi kuwa hata akijamba tunatakiwa tujue, ingekuwa poa kama ungetueleza kuwa ana nini cha kuleta, kama tulivyomjua na sanaa yake.
Sijaona mantiki ya post yako...
 
Pole mgonjwa..kumbe mkiumwa huko ughaibuni mnarudi kuugulia home..poleni sana wagonjwa
 
Muda mrefu niliambiwa kuwa huyu binti alikuwa kwa mganga huko Bagamoyo akitibiwa kwa kuwa alishakuwa kichaa, kiasi cha kufungwa minyororo lakini wengine wakasema amerogwa na mama yake kwasababu wanataka kumdhrumu nyumba aliyojenga, juzi kati nimemuona mitaani akikatiza, nguo alizozivaa katika picha hii ndiyo yamekuwa mavazi yake ya kila siku, tena anaongea mambo ya ajabu kwa kujitambulisha kwamba yeye ni Malaika au Mungu.
 
mh hii dunia kweli tambara la fujo, na mie sik zote husema iwapo mtu anapoteza akili zake kwa sababu ya mikono ya mwanadamu, asi mtu huyo anayeharibu za mwenziwe anastahili laana iliyo kuu, maana ni jambo baya sana kumfanya mwenzio azurure hovyo, aende uchi na apoteze heshim na utu wake mbele ya jamii
 
Hadithi yake tunaambiwa ilianzia sigara, ikafuata bangi, kisha unga, huku akichanganya ngono zote na pombe kali mwisho akamalizia na msongo wa mawazo na ushirikina.

Mungu amsaidie apate kupona. Pole sana Ndugu yetu Nana.
 
View attachment 61390
Yule aliyekuwa Maarufu miaka ya 2002 na kinaBi Staa, Kibakuli, Mhogo Mchungu, Kingwendu, Bi Hindu, Sandra,
Nora, Swebe kwenye sanaa za maigizo, alienda kuishi South Africa na sasa karudi Bongo!
Mbona muonekano wake uko tofauti sana na enzi zile akionekana kwenye runinga?

Zamani alikuwa anaonekana mweupe sana, mrembo sana.

Kitu pekee ninachokiona hapo kilichobaki ni pozi na dimples kwenye mashavu.
 
huyu dada alikuwa mzuri sana... nini kilicho msibu jamani? kaharibika sana mvuto wote umepotea.
 
Mbona muonekano wake uko tofauti sana na enzi zile akionekana kwenye runinga?

Zamani alikuwa anaonekana mweupe sana, mrembo sana.

Kitu pekee ninachokiona hapo kilichobaki ni pozi na dimples kwenye mashavu.

Mkuu,normally dimples huwa mashavuni bana
 
Back
Top Bottom