Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Habari zenu wanajf
Jamani mi mshabiki sana wa movie za kihindi nazipenda sana
MASTAR wa kihindi wanaonikosha ni AMITABH BACHAN NA MWANAWE,
NASRUDEEN SHAH,PARESH RAWAL,
ANUPAM KHEIR
SHAH RUKH KHAN,
AJAY DEVGAN,
AKSHAY,
DHARMENDRA FAMILY,
JOHN ABRAHAM
RITHIK ROSHAN
NA WENGINEO WENGI SANA
KWA KE NI AISHWARYA
PRIYANKA
KAREENA NA DADAKE
KATRINA
Kajol , Rani mukhrejee na wengineo wen
Movie za zamani
Sholay,
jaandushman,kuch kuch,mohabbatein,karan arjun nk
Za hv miaka ya hv
bodyguard,ra one,singham,dabang,dhoom3 nk
yaani nawapenda wahindi sana km kuna washabiki km mimi tutashare mawazo na movies mpya mpya
 
Oooo yaaa yarahae eehe pyerapyaa!!!...ahaa nachenache abijae abijae ebaaa ohooo yaaa yarahae eeehe pyerapyaa!!!

ha ha haaa umenikumbusha mbali sana mkuu...hiyo hapo juu ni nyimbo ya Disco Dancer ya Mithun Chakrabotti
 
Mwishoni mwa miaka ya 90 nikiwa bado mtoto kijana niliwapenda sana Govinda na Mithun Chakrabotti kutokana na filam zao za Hatya na Disco Dancer
 
Mwishoni mwa miaka ya 90 nikiwa bado mtoto kijana niliwapenda sana Govinda na Mithun Chakrabotti kutokana na filam zao za Hatya na Disco Dancer

aisee jimy jimy achaaaa
jimy jimy achaaa
iam a disco dancer!!!!!!
govinda...!na hatya acha bwana!
 
Habari zenu wanajf
Jamani mi mshabiki sana wa movie za kihindi nazipenda sana
MASTAR wa kihindi wanaonikosha ni AMITABH BACHAN NA MWANAWE,
NASRUDEEN SHAH,PARESH RAWAL,
ANUPAM KHEIR
SHAH RUKH KHAN,
AJAY DEVGAN,
AKSHAY,
DHARMENDRA FAMILY,
JOHN ABRAHAM
RITHIK ROSHAN
NA WENGINEO WENGI SANA
KWA KE NI AISHWARYA
PRIYANKA
KAREENA NA DADAKE
KATRINA
Kajol , Rani mukhrejee na wengineo wen
Movie za zamani
Sholay,
jaandushman,kuch kuch,mohabbatein,karan arjun nk
Za hv miaka ya hv
bodyguard,ra one,singham,dabang,dhoom3 nk
yaani nawapenda wahindi sana km kuna washabiki km mimi tutashare mawazo na movies mpya mpya

Hakuna Muhindi India atauliza kama Kuna Mpenzi wa Filamu za Kiafrika!
 
Jaman naomba kuuliza juu ya movie flan ya kihindi ya zamani kidogo, ambayo starring alikuwa ni mbwa, anakuja kulipa kisasi baadae kwa kuua wote waliohusika na mauaji ya bosi wake. Anaeijua anisaidie jina plz, naitafuta sanaaaaaa
 
Nazipenda sna My name is Khan and I'm not a terrorist na 3 idiot
 
Kuna kipindi nilikuwa nafuatilia series zao Zee TV mbona nilikuwa sitaki mtu aguse tv. Pavitra rishta, choti bahu, kasamh se, choti si zindagi, teen bahuraniyaan, mrs kaushik, jhansi kirani, bitiya hi kijo, sanskar lakshmi, hayaan ghar ghar kheli etc aisee ni balaa
 
  • Salam Ishiq..
  • Jodha Akbar..
  • Umrao jao..
  • Salama Namaste..
  • Woh Lamhe...
  • Love Akjaal...
  • Tara rum..
  • Kisna..
  • Kushi..
  • Kuch na kahoo..
  • Kabhi alvida naa Kehna...
  • Sakar Raj 1&2...
  • Slumdog Millionaire...
  • Veer...
  • Muhste dosti karogue...
Nimechoka kukumbuka majina bana... hizo hapo za tosha kwa sasa...

Hiinyekundu huwa nashindwa kuiweka kwenye kundi la filamu za Kihindi. Kwanza sio Bollywood product, muongozaji wake ni Muingereza Danny Boyle, maana hapa ni kuwa crew yote ni kutoka huko.
Mhusika mkuu, ambaye ni Jamal Malik ameigizwa na Dev Patel, Mwingereza mwenye asili ya Hindustan na co-starring ni mwenye asili ya Latina.

Kufanyia filamu India ilikuwa ni kutafuta uhalisia zaidi (si unajua waanzuga kuwa Uingereza hakunaga slums), wausika wakuu wa India waliongezwa ni pamoja na Prem Kumar ambae ana sura ya Kimataifa zaidi.

Walijitahidi kuifanya iwe kama za Bollyood lakini kiasa fulani walichemka, movie nzima ina 'songi' moja tu - Jai HO na zile mbwembwe za wahindi za steringi mmoja kupiga kijiji kizima, kuwa na character chale chale ivi hazikuwepo.

Lakini inabaki kuwa filamu bora yenye uhalisia...
 
Nazipenda sna My name is Khan and I'm not a terrorist na 3 idiot

My name is Khan, kama kawaida imejaa ubinafsi wa mastaa wa Bollywood. Mtu hata kama taahira anaopoa mademu wakali tu, kichafuchefu.
 
Jaman naomba kuuliza juu ya movie flan ya kihindi ya zamani kidogo, ambayo starring alikuwa ni mbwa, anakuja kulipa kisasi baadae kwa kuua wote waliohusika na mauaji ya bosi wake. Anaeijua anisaidie jina plz, naitafuta sanaaaaaa

Hiyo movie inaitwa TerlmeryBahania…starling Jack Shiroff.

Ni filam mzuri sana na yenye kuuzunisha sana. iliekitiwa mpaka wa Pakistani na India maeneo ya Kashmiri
 
Wapendwa naombeni jinsi ya ku-download movie za kihindi maana kwenye TORRENT naona hazipo nimejaribu mara nyingi kuzitafuta i.e stoning of soraya, hatya, termery bahania sizipati, mwenye link please!
 
Wadau kuna movie ya kihindi jina nimesahau, ila inamuhusisha kijana mmoja mwanamuziki akiwa na wanzake wanaunda kundi la muziki...ila kisa ni mapenz....inafikia jamaa anatembea uchi baada ya kudanganyw na rafiki wa msichana kuwa atampata rafikiye kama atatembea uchi...kuna scene wanapgwa ktk jumba la cinema...naomba mnisaidie jina kwa mwenye kuijua
 
Dah, umenikumbusha mbali sana mapenzi uchizi jamaa akavuka uchi barabarani, hata me natafuta jina lake pamoja na ile ya staa mbwa, wadau tusaidieni.
Wapenzi wa sunshet, kajol, rahul na kumar tizama mohra na baazigar za 90s ambazo zilibamba mbaya.
 
Back
Top Bottom