Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Choko choko mchokoe pweza....
La kuvunda.....
Papo kwa papo.....
Ukiona vyaelea.....
Kitendawili....teega..juu majani,katikati kuni na chini chakuka..
 
Umepata
Najibu
Dunia hadaa - Ulimwengu shujaa.

Tunaendelea

Kitendawili: Hogo haliogoki ila kwa hogo lenzake....

Methali: 1. Baniani mbaya .............
2. Hamna hamna..............

Duh! hii sasa ni homework, ngoja tuchimbe kisha tutaleta hiyo mizizi@
 
Haba na haba....
Mgagaa na upwa,,,,,,,,,,,,
usiache mbachao......... Usitukane wakunga.........Akutukanae mchana.......... Ukiyastaajabu ya musa............ Mchumia juani..................usiache mbachao.........
Zimwi likujualo..........
Mdharau mwiba.............
Chokochoko chokonoe........
Dua lakuku.....
Vitendawilisasa
kaa huku nikae kule tutupe mawe pangoni..........
Hausimiki hausimami.....
Popoo mbili zavuka mto.....
 
Choko choko mchokoe pweza....La kuvunda.....Papo kwa papo.....Ukiona vyaelea.....Kitendawili....teega..juu majani,katikati kuni na chini chakuka..
La kuvunda...halina ubani, papo kwa papo...mpe kitu, ukiona vyaelea...vimeundwa, kitendawili jibu lake muhogo.
 
Haba na haba....
Mgagaa na upwa,,,,,,,,,,,,
usiache mbachao......... Usitukane wakunga.........Akutukanae mchana.......... Ukiyastaajabu ya musa............ Mchumia juani..................usiache mbachao.........
Zimwi likujualo..........
Mdharau mwiba.............
Chokochoko chokonoe........
Dua lakuku.....
Vitendawilisasa
kaa huku nikae kule tutupe mawe pangoni..........
Hausimiki hausimami.....
Popoo mbili zavuka mto.....
NAJIBU MWENYEWE WAVIVU
1.hujaza kibaba.2.hali wali mkavu 3.uzazi ungalipo.4.usiku atakuchoma 5.utayaona ya firahuni.6.hulia kivulini 7.kwa msala upitao8.halikuli likakumaliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom