wale wapenzi wa disco miaka ya 1980 mnakumbuka disco lilokuwa linavuma kipndi hicho 1900 chini ya Ma DJ Kalikali a.k.a Double K,Say Doo, Jerry Koto,enzi hizo kama hujaingia mbowe unapata homa,pia mnamkumbuka DJ Peter Pantalakis wa Rungwe Ocean 110 disco,ilikuwa raha