Tujikumbushe maelezo ya hawa watu

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
"mh. Spika hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie bunge hili tukufu.(Dr.H.Mwakyembe, Dodoma, 6. Feb.2008)". "Mh. Spika nimesimama hapa kuelezea masikitiko yangu ofisi ya bunge hadi ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo, nimeonewa sana ktk hili"(Edward N. Lowassa, Dodoma, Feb,7,2008). "Mh.Spika napenda nitumie nafasi hii pia kumshukuru kwa moyo wa dhati kabisa mh. Edward Lowassa aliyeamua kujiuzulu kutokana na kuipenda nchi yake"(Mizengo Pinda Dodoma Feb,9,2008). Mwana JF umewahi kutafakari kauli hizi namna zinavyokanganya? Kumbe EL anaipenda sana nchi yake?(nadhani TANZANIA). Kumbe mratibu na mtekelezaji wa shughuli za serikali anamjua EL jinsi anavyoipenda nchi yake kumbe!!!!!!!!!! Hebu tafakari kabla ya kutoa jibu.
 
ungeziweka katika mfumo wa sauti tuone kama walikuwa wanayasema hayo kwa moyo mweupe kabisa!
 
"mh. Spika hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie bunge hili tukufu.(Dr.H.Mwakyembe, Dodoma, 6. Feb.2009)". "Mh. Spika nimesimama hapa kuelezea masikitiko yangu ofisi ya bunge hadi ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo, nimeonewa sana ktk hili"(Edward N. Lowassa, Dodoma, Feb,7,2009). "Mh.Spika napenda nitumie nafasi hii pia kumshukuru kwa moyo wa dhati kabisa mh. Edward Lowassa aliyeamua kujiuzulu kutokana na kuipenda nchi yake"(Mizengo Pinda Dodoma Feb,9,2009). Mwana JF umewahi kutafakari kauli hizi namna zinavyokanganya? Kumbe EL anaipenda sana nchi yake?(nadhani TANZANIA). Kumbe mratibu na mtekelezaji wa shughuli za serikali anamjua EL jinsi anavyoipenda nchi yake kumbe!!!!!!!!!! Hebu tafakari kabla ya kutoa jibu.

Thread bora ya siku. Kweli nchi ilikumbwa na homa ya kutaka kujua nini kitafuata baada ya ripoti ya mwakyembe. Hali ilikua ya mshawasha mkubwa.
 
Kwakweli kauli za Pinda kama mtoto wa mkulima zinanipaga shida sana kuzielewa, nadhani pia anavimelea vya ufisadi na ndo mana anatumia nguvu nyingi sana kuabsorb shock mbalimbali za masuala ya hovyo hovyo yanayoikumba serikali yake. Kimsingi namchukulia kama msaliti ambaye analinda maslahi ya watawala badala ya wananchi.

Sio hayo tu alishasemaga kuwa hata tumuue suala la meremeta hawezi kulizungumzia kwamaana linahusisha jeshi/usalama wa nchi. Alishasemaga serikali imeamua kurejesha hisa zote za kiwira bila kutuambia kwa Mkapa zilifikaje, alishasemaga tuue wauaji wa albino. Yani ukimwangalia Pinda kwa Microscopic eyes, utagundua ni wale wale. Sijui tulitoka nae wapi hadi atuongoze, ama kweli kuchamba kwingi mwisho hutaka na.....nnyer
 
ungeziweka katika mfumo wa sauti tuone kama walikuwa wanayasema hayo kwa moyo mweupe kabisa!

kweli we kiboko; ina maana hayo maneno ukuwahi kuyasikia!!!, nimekua na wasiwasi na mchango ktk siasa.
 
"mh. Spika hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie bunge hili tukufu.(Dr.H.Mwakyembe, Dodoma, 6. Feb.2009)". "Mh. Spika nimesimama hapa kuelezea masikitiko yangu ofisi ya bunge hadi ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo, nimeonewa sana ktk hili"(Edward N. Lowassa, Dodoma, Feb,7,2009). "Mh.Spika napenda nitumie nafasi hii pia kumshukuru kwa moyo wa dhati kabisa mh. Edward Lowassa aliyeamua kujiuzulu kutokana na kuipenda nchi yake"(Mizengo Pinda Dodoma Feb,9,2009). Mwana JF umewahi kutafakari kauli hizi namna zinavyokanganya? Kumbe EL anaipenda sana nchi yake?(nadhani TANZANIA). Kumbe mratibu na mtekelezaji wa shughuli za serikali anamjua EL jinsi anavyoipenda nchi yake kumbe!!!!!!!!!! Hebu tafakari kabla ya kutoa jibu.
Inategemeana na mtu mwenyewe anayetafakari: uwezo wake, mapokeo yake juu ya maneno hayo na pengine zaidi kabisa kama unajisikia tu kumchukia au kumpenda mzungumzaji. So wewe jipime ni zaidi ya kama yalivyo. Nani alisema maneno hayo ya bluu? Pinda au SPIka? hujaeleweka hapo mkuu fafanua vizuri
 
Back
Top Bottom