Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

Enzi hizo ukiletewa ticket kama hayaandikwa "Bus Service" unakuwa huna imani kama ni ticket ya kweli.
 
kwa wale wa dar kuna UDA lilikuwa limeandikwa BAYANKATA hadi leo halijanunuliwa basi kama hilo Tanzania maana yalikuwa ni mabasi mawili yaliyoungana unaweza ukafkiri ni treni inatembea kwenye lami
 
Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland.
Nakumbuka Njuweni, Masama Clif na Masama Safari, Yarabi Salama na Yarabi Toba,

moretco,A.T.S,BIN-SALIM,MTU KWAO,DAR OYEE,
 
Kwa kweli wanajamvi mmenisaidia sana kukumbuka utotoni. maana pale kibamba hospital tulikuwa tunaona bus kwa mbali likitokea mjini basi tunaanza kubishana ni bus gani hilo. Yaani it was so funny.
 
Back
Top Bottom