TUJIKUMBUSHE - Kweli hata mimi kura yangu kwa JK na CCM - BIG NO!!

Hoja zinaeleweka sana 2: Haya uliyo-orodhesha hapa JK hajayaanzisha wala kuyaendeleza, mfanyo ujenzi UDOM, hii shughuri aliikuta inaendelea aliyeianzisha ni Ben, Ujenzi wa barabara ipi? Kuongezeka kwa mindo mbinu ya elimu wakati ameanzisha shule za kata zisizokuwa na waaalimu, miundombinu ya elimu ipialiyoongeza wakati wadogo zetu wameshindwa kama nini. MWAKA HUU NI CHADEMA 2 HATA KAMA CCM WATAIBA, LAKINI TUTAKUWA HATUJAWACHAGUA, BALI WAMEJIPA MADARAKA WENYEWE. Ni sawa na nyumbani baba unapokosa heshima kwa watoto na mama yao, halafu ukatumia ubabe kwa kuwa tu wewe ni baba, haipendezi hata kidogo.

Mmmh....Unanikumbusha "kuna 15% ya watu watakuchukia tu ata ufanye nini" JK
 
Kaka waweza ntajia Barabara ambayo imejengwa kwa plan za kikwete.. au kufungua barabara zilizokuwa Planned na Misaada aliyoomba Beni we unaona kafanya yeye.. All in all mpk sasa labda ajivunie hyo UDOM ambayo mpk sasa haina Malecture wakutosha wanaokoteza wanafunzi toka UD.. Inawezakana Vipi mtu aliyemaliza Degree ya Kwanza kumfundisha mwanafunzi wa Degree ya Kwanza..Hii ni Jokes
 
Back
Top Bottom