Tujikumbushe ktk historia huko Iran na pilika pilika zao

bakuza

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
490
100
Siku kama ya leo 03/04/2012 miaka 834 iliyopita sawa na tarehe 11 Jamadul Awwal mwaka 597 Hijiria ya mwaka wa kiislamu, alizaliwa Khoja Nasruddin Tusi, mwanafalsafa, mwanahisabati, mnajimu na mwanazuoni mkubwa wa Kiirani katika mji wa Tusi kaskazini mashariki mwa Iran. Katika maisha yake aliasisi kituo kikubwa cha kielimu na akademia ya kwanza ya sayansi yaani mahala pa kuangalilia mwenendo wa nyota, mwezi na jua iliyojulikana kwa jina la Maraghe huko kaskazini magharibi mwa Iran. Aalimu huyo aligundua namna mpya za kutumia saa ya jua kwa ajili ya kituo hicho. Kituo hicho kilikuwa na suhula muhimu zaidi ambazo kwa miaka 300 baada ya hapo hazikuweza kushushudiwa katika nchi za Magharibi.:nod:
 
duu jamani kama mna hoja na historian iliokamilika ndiyo muweke sio vipande vifupi na havileti maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom