Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,100
- 6,022
- Kipindi kile mtu ukigonga kopi buku(thread 1000) ulikuwa unatangazwa hapa na mods...tunakupa ma-congratulation kibaooo!!lakini siku hizi wapi bana!!
- Kipindi kile watu walikuwa wanakupotezea tu, hawagongi thanx wala nini, na hii haijalishi mtu, hata kama thread imeanzishwa na Invisible watu wanasoma wanakupotezea tu..rejea
[URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/745-zitto-kabwe-azidi-kubanwa.html"]Zitto Kabwe azidi kubanwa...[/URL]by Invisible.
- Kipindi kile ukichoka kusoma forums basi we ulikuwa unaenda jukwaa la music tu...aagh full burudani, nilikuwa napenda sana kusikiliza zilipendwa akina Mbilia Bel, Franco, Remmy ongala, Taarab n.k...dah siku hizi hamna kitu, nikichoka kusoma naizima laptop yangu.
- Mzee Mwanakijii ndio alikuwa the greatest seeder of all times...hope mpaka leo hii namuappreciate.
- Kipindi hicho members wengi walikuwa kikazi zaidi tofauti na sasa asilimia kubwa ya threads zipo kimapenzi/kimahaba zaidi....(ooh samahani kwa hili MMU)