Hata sisi wajita tunafanya hivo, inaonekana kwenu mila kama hizi haziko hii ni heshima na malezi bora kwa watoto wa kike.
Hiii haijakaa sawa kwa kweli, yaani dada wa watu akupige magoti wee mkapa umalize, huku wewe ukipiga soga?
Waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje wa Malawi Etta Banda(aliyepiga magoti, kulia) akimkaribisha rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa staili ya namna yake mnamo Desemba 2010. Inaonekana Kikwete alipenda sana utukufu huu ambao kimsingi ni udhalilishaji kwa mwanamke. Huenda ndiyo maana amerejea Malawi kumzika Mutharika baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe miaka miwili iliyopita.

Kama hiyo ni miongoni mwa mila mbaya mi nataka hii mila rafiki yako wa kike (si Kimapenzi bali kijamii) kuendelea kutaka kulipiwa unapokuwa nae kwenye burudani na mambo mengine hata kama na yy yuko njema tu mradi we ndo dume watakufyonza tu mpaka unauhisi mfyonzo !Hiii haijakaa sawa kwa kweli, yaani dada wa watu akupige magoti wee mkapa umalize, huku wewe ukipiga soga?
Jagermeister sio Jagermaster. Pls!!!!