KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
What if maswali yaliandaliwa kwa ajili ya promo? Na waulizaji walivuta chao?
gotta hit the gym fat man
Ni uoga, au uzito umekuzidi? maana naona ungeendelea kwa dakika 15 nyingine tungekuwa hatuna meza.
Practice makes perfect. Nilibahatika kukuona bungeni ukijibu maswali ya waheshimiwa. Ulihema sana Williama and I almost called the ultimate Security to bring thier ambulance becuase I was convinced something terrible was about to happen! Ni nerves au shida ilikuwa nini ndugu?
- Ndio uzuri wa Demokrasia, wewe uliona hayo na wengine waliona mengine mengi mazuri, ha! ha! ha!
William.
Naam huyu ndiye aliyeiwakilisha JF huko Dodoma
sasa sina video za wengine waliokwenda kujieleza