kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,712
- 11,274
sidhani kama JF ipo kwa ajiri ya ku judge uzao wa mtu..
OK,NAITWA SOMJI JUMA MALEKANI,MTU WA MBEYA,KABILA NI MSAFWA,KWENYE UKOO WETU HAKUNA MTU MUISLAMU WALA MUHINDI..
KULE MBEYA MAJINA WANATOA TU HAWAANGALII DINI,YANI USISHANGAE UKIKUTA MKRISTO ANAITWA SAID,MUSA etc..
jina la kihindi nimepewa na wazazi wangu nilipozaliwa sijui mmaana yake au kwanini walinipa,lakini kwanini uoji jina langu tu.!kwani haya majina ya PETER,WILSON,etc.. ambayo waafrika tunayatumia mbona sio asili ya afrika lakin mbona hujahoji.?
NA BAADA YA KUKUJIBU HAYO ULIYONG'ANG'ANIA NIKUJIBU UMEFAIDIKA NINI HASWAA.?
NAKUSHUKURU KWA TUSI LAKO LA KUA MIMI NIMEZALIWA KWA BAHATI MBAYA,INAELEKEA UNA UKARIBU NA MUNGU KIASI KWAMBA UNAJUA HUYU ALIZALIWA KWA MIPANGU NA HUYU KWA BAHATI MBAYA..
He teh teh teh teh! Yaani nyie wasafwa mnapeana majina yyt bila kujali asili yake?
Hii ndio naskia leo! Yaani SOMJI MALEKANI! teh teh teh teh teh!
Basi kama skosei mtoto wa baba yako mdogo anaitwa CHAVDA UFALANSA!
teh teh teh teh!
Waambie wazee wako kuwa mara nyingi tabia za mtoto zina kawaida ya kufanana na Jina lake!
Sasa si unaona kama wewe!
Tabia yako imechanganyika ya kihindi na ki safwa! Matokeo yake unatokwa mapovu ovyo ovyo!
We mi nakushauri badili jina haraka kabla hujakosa mchumba!