Tujikumbushe Aga Khan Mzizima Sec School.....

Tupo mwana, mi nilikatiza kwa Thind miaka ya tisini mwishoni (PCM), hivi Mr Katri bado yupo? ukisikia mwalimu msela ndio yule lakini Biology ya O level imetulia kichwani. Na Mr Mzee bado yupo?
 
Umenikumbusha mambo ya Food Bazaar, talent show na sports day (Kagera House, Ruvuma House na Rufiji House), mi nilikuwa napangwa kagera house karibu kila mwaka
 
Ahh umetukumbusha wakati yetu Mzizima...Sports day, food Bazaar, Variety Concert Diamond Jubille...Pangani House ilikuwa my house...Nilipika PCM 1994-1996..Mr Thind( Babu) alitufundihsa Mathematics, Mr Murrray Physics and Chemistry alitupigia Mr Champsi..Hiyo ilikuwa Kikosi Tishio hapo...Kila kitu ilikuwa rahisi..Nilipita shuleni mwezi wa Mei mwaka huu wakati wa likizo Bongo..Shule haadhi yake imeshuka sana..hakuna nidhamu wala nini...Mr Thind yupo London...
 
The motto was (is)

''Better always better''.


Nilisoma high school hapo, mwalimu wa Economics alikuwa Acharya ( kabla hajawa head master)

Naishukuru sana Mzizima wakati huo ilikuwa labda shule pekee ya private kwa high school.
 
Back
Top Bottom