Tujifunze video shooting & editing

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Wanajamvi habari zenu!! Mimi nina idea na video editing kwa kiasi hasahasa katka software ya sony vegas pro. Najua pia kuna wataalamu wa adobe,final cut,ulead n.K so sio vibaya tukaulizana maswali mbalimbali kuhusu video editing. Kwangu mimi niulize chochote kuhusiana na SONY VEGAS,nitakujibu nami pia nina maswali kadhaa kuhusu plug-ins za software zingne.
 
mccte kuni PM kwa maswali yoyote yahusiyo adobe premiere pro na adobe after effect cs3/cs4/cs5.
 
Kuna option moja (sijui ni plugin) inamfanya m2 anakuwa black n white or sepia in colour na vi2 vingne kama v.L nguo zinabaki na origin colour.Hii inakuwaje???
 
Mie nafahamu sana Adobe premiere pro version zote. Najifunza Adobe AE na Illustrator bado lakini ni thafi sana.
 
wakuu mimi nina kampuni yangu ya entertainments, nimeifungua kama miezi miwili sasa, inajishughulisha na kukodisha professional sound and PA systems kwenye sherehe za aina zote. sasa nataka kupanua business nataka nijiushishe pia kwenye mambo ya video shooting and editing, naombeni mnielekeze wapi nitapaka short courses za mambo hayo.by professional mimi ni accountant so i want to make it as a part time generation.
 
kama upo dar kuna vyuo vingi kama vile royal college of Tanzania n.K tembelea www.Royalcollegetz.Org
 
Me nahitaji adobe cs3 au cs5 ambaye anazo unaweza nicheki kwa namba 0714890018, au akinipatia contacts zake sio mbaya pia, nipo dar
 
Me nahitaji adobe cs3 au cs5 ambaye anazo unaweza nicheki kwa namba 0714890018, au akinipatia contacts zake sio mbaya pia, nipo dar

umepata.Mi nina adobe master collection,but npo field songea j5 ntarudi dar.2tatafutana mkuu.Unaweza kui2mia?? Ili unipe somo coz mi ninayo but ninajua kidogo xana adobe
 
umepata.Mi nina adobe master collection,but npo field songea j5 ntarudi dar.2tatafutana mkuu.Unaweza kui2mia?? Ili unipe somo coz mi ninayo but ninajua kidogo xana adobe

sijawahi itumia kwasasa natumia adobe premie pro 1.5 , nataka nijaribishe latest versions ,ila kawaida software nyingi huwa najifunza mwenyewe ,na huwa hazinipi tabu sana
 
mccte kuni PM kwa maswali yoyote yahusiyo adobe premiere pro na adobe after effect cs3/cs4/cs5.

Mkuu nina hamu sana na after effects, ninayo CS5 kwenye MacBook Pro lakini sijui kuitumia natamani nipate mtu anipe basics, tushirikiane jamani tuibuke kidedea kweny nga hizi. PM inafuata soon.
 
wanajamvi mmenigusa sana maana tangu nikiwa dogo natamani sana mautundu haya, hizo windows essential movie maker ndo ninazofanikiwa kuzipata tuu. zingine nimedownload lakin kuinstall nahitaji kam GB 1 hiv na net zetu ndo ivo ni zembe balaa kama kuna m2 anaweza nipa moja anitonye through 0714 141452 naweza kujifunza mwenyewe mpaka nikamaster. asanten:A S 465::A S 465:
 
Back
Top Bottom