C6 nimefanya some few corrections and nimejaribu kuweka 3D effectView attachment 63540
Good ila angles hizo! Usishangae nachukua nafasi ya mwl I am his assistant
C6 nimefanya some few corrections and nimejaribu kuweka 3D effectView attachment 63540
hehe hapo nilikuwa najaribu kuonyesha kama ipo kwa mbele kidogo ya background i guess nimefanya uzembe kwenye arrangement ya shadow, ila hapo kwenye reflection and shadow ndio sijakupata vizuri...does it mean shadow & reflection zipo mutually exclusive ?....and one more question hivi software kama 3D max inaweza kunisaidia zaidi when transforming and image to 3D (in handling issues kama reflection,shadows...etc?...kuna tutorial za photoshop naona wanatumia but sijawahi kuifuatilia kiundani zaidi)umedanganya. kivuli kiko hewani halafu kuna reflection which means kivuli hakiitajiki. ukiamua kuweka kivuli huweki reflection