Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Sema hawapendi kusoma!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

aisee Pretty sisi tumesoo.....tumesomaa sema tarehe ikifika huwa tunapeleka pesa zote tulizo tafuta mwaka mziii.....mwaka mzima
 
Last edited by a moderator:
of course kuna mengi ya kujifunza mimi chuo marafiki zangu walikuwa wachaga, jamaa kila sehemu wapo na wanajitoa, kwenye kwaya, japo wadada hawajui kucheza step ila walikuwa wengi, ukichukua wapiga kinanda wa kibosho tu ni sawa na wakuria wote wanaojua kinanda, kwenye vikao vya chadema walikuwa ni wengi na hawaogopi kugombea, dada wa kichaga unaweza kumtokea akawa anakupenda ila kama mchaga mwenzie anampenda hata kidogo atakuambia kuwa tayari ana wake, nilimaliza cho nikaenda moshi, cjakuta wahindi wengi kwenye maduka, ni full wachaga, jumapili makanisa yanajaa, wana ardhi ndogo lakini utakuta wamelima mpaka milangoni, migomba mahindi, kahawa, umeme mpaka ndani huduma ya maji mpaka vijijini, utakuta kuna mamlaka ya maji ubwe na lymungo, nyumba za nyasi sijaziona eneo nililokuwa-kibosho umbwe
 
sure wachaga wako juu saaana hiui haipingiki kabisaaaaaaaaaa, ila huyo anayesema wachaga wezi hiyo si kweli coz zaman mtu akiwa na hela ni mwazi siku hiz akiwa na hela ni freemason so hizo ni terminologies tu za kujipa moyo kwa wasio na hela
 
Ki ukeli wachaga ni watafutaji sana na hilo ndilo linawafanya waendelee lakini pia wana umoja.kubwa tujifunze ushirikuano kwao kwani kuna baadhi ya makabila we acha tu.
 
Moshi ni miongoni mwa miji maarufu sana wa kitalii Tanzania na Duniani kote uliopo Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Umaarufu wa Mji huu unatokana na kuingia kwa wageni kutokana na Mlima Kilimanjaro. Mji huu una kabila maarufu sana liitwalo Wachaga. Kuna Wamachame, Wakibosho na Wamarangu. Warombo nao hawajambo!

Pamoja na kwamba mm natoka Mkoa wa Bara, yafuatayo ni mambo muhimu ya kujifunza toka kwa Wachaga:-

1. Wana uzalendo mkubwa sana na Mkoa wao.

2. Wanapenda kusaidiana sana wao kwa wao. Ukioa kwao umeula.

3. Wanawake wanafanya biashara sana kuliko wanaume. Wanawake wanatembeza vitu mtaani (Machinga) kuliko wanaume.

4. Wachaga wana wivu sana wa kimaendeleo. Muda wote wao huwaza kuwa zaidi na zaidi.

5. Wachaga si wepesi wa kukata tamaa. Hata apate hasara vipi,atang'ang'ana kama kupe mpaka atatoboa.

6. Wachaga wana nidhamu sana na pesa.Siyo wepesi wa kufuja hela. Wazuri wa kutunza na kulundika hela.

7. Mchaga hakatai pesa,hata kama kidogo anachukua.Nyingine utamalizia baadae

8. Wachaga wanapenda sana kilimo cha umwagiliaji,hasa ndizi kahawa migomba na mbogamboga za majani. Na wanapenda sana kufuga nguruwe.

9. Wachaga si wepesi wa kudhulumu mtu,mpk mtofautiane sana. Ni watu ambao mkishakubaliana terms mmeshamaliza,na hata akila,hali chote.

10. Ukioa mchaga umewin. Mwanamke kila dakika anawaza pesa na ni wazuri wa kusimamia miradi.

11. Wachaga wanakula sana pombe ila kwa malengo na ni weekend

12. Wachaga wanapenda majidai sana na wana fujofujo za kujisikia (hawawafikii Wahaya)

13. Kwa mchaga hela itapatikana tu,kwa namna yoyote ile



Aikambe

Aikasa

Aikama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom