TUjifunze kukubali ukweli

hivi inaingia akilini kuchoma vyeti vya mtu????do u knw how severely i struggled to get all thoze certs??aagh hapa naona tunadanganyana...labda uniambie kachoma xerox za vyeti na sio original ones!!

Nidanganye ili iweje mkuu?? Hivyo ndivyo ilivyoripotiwa na kesi kubwa anayopelekwa nayo mahakamani ni hivyo vyeti ndo issue kubwa.
 
Ni kukosa maarifa ya maisha tu,
hakuna mapenzi wala nini

Anashindwa kumanage pain, loss, anger,

Anatakiwa msaada wa marafiki au kisaikolojia. Si kimapenzi
 
When-one-door-closes.jpg

Tatizo ni kukubali na ku move on...... wengi wetu huwa tunakata tamaa pale tunapojua kitu fulani kimeishia ukingoni.........

Kukubali ndo pagumu sana mkubwa
 
Mtakatifu unataka kuniambia kakosea kumwambia?? ukweli?? Ulitaka ambembeleze?? No no no no

Sijasema kubembeleza.....ila kwa mtu anayemfahamu alipaswa kutafuta njia yenye madhara kidogo.......
Kama jamaa alikua 'ATM' ....angeweza kuanza kumkatia 'flow' ya hela etc....
 
Methodology za kuachana........
Naamini huyu jamaa angweza kutafuta njia nzuri zaidi ya kumwambia huyu dada kwamba yamefika mwisho.......
Kuacha sio kosa...ila njia za kuachana ziangaliwe kwa umakini (kupunguza madhara).

Mmeku....nadhani alimpa nafasi, kampigia simu, demu kakataa kataka dialogue, lakini kaiabuse pia.

Sijui jamaa hakuona kitufe cha kuripoti abuse?
 
Hilo ndo tatizo kubwa sana

Si unajua nyie wanawake mna tabia ya kutambiana ooh nina buzi lina handle kila kitu sijui kodi, usafiri mpaka wazazi kule killeji yeye anamaliza sasa fikiria jamaa ndo anaondoa hisa zake na anahamishia kwa Bi.Mwanakombo lazima uwewuke tu
 
Mmeku....nadhani alimpa nafasi, kampigia simu, demu kakataa kataka dialogue, lakini kaiabuse pia.

Sijui jamaa hakuona kitufe cha kuripoti abuse?

The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Si unajua nyie wanawake mna tabia ya kutambiana ooh nina buzi lina handle kila kitu sijui kodi, usafiri mpaka wazazi kule killeji yeye anamaliza sasa fikiria jamaa ndo anaondoa hisa zake na anahamishia kwa Bi.Mwanakombo lazima uwewuke tu

Ha ha ha umenikumbusha mbali sana ndo hapo sasa
 
Huyo jamaa kweli alifanya utafiti wa kutosha kabla ya kufikia conclusion hiyo?Nafikiri hapa hasira zilitawala zaidi hata kama kulikuwa na ukweli.Ila mpango wa kuchomeana vyeti,nguo na kuharibu laptop hata sio mpango kabisa.
 
Ndipo paliponiuma kuliko vyooooote
 
We bwana acha tu yote tisa hivyo vyeti tu ndo mie vimenishangaza kweli huyu bidada anaonekana kama sijui vipi vile aahhh simuelewi kabisa

Lakini naungana na mkuu mmoja hapo juu aliyesema kuachana sawa lakini jinsi ya kuachana!!! Huyu kaka ilibidi atumie akili za kiume katika kumuacha huyu dada!!!
 
Duh hii kali....sasa hivyo vyeti vilikuwa vinahusika vipi mpaka vichomwe moto?
 
We acha tu yaani watu wengine sijui wanakuwaje ujinga afanye mwenyewe hasira ziishie kusikohusika basi tafrani tupu
 
Sijasema kubembeleza.....ila kwa mtu anayemfahamu alipaswa kutafuta njia yenye madhara kidogo.......
Kama jamaa alikua 'ATM' ....angeweza kuanza kumkatia 'flow' ya hela etc....

Ni kweli kabisaaaaaa!!!!
 
Methodology za kuachana........
Naamini huyu jamaa angweza kutafuta njia nzuri zaidi ya kumwambia huyu dada kwamba yamefika mwisho.......
Kuacha sio kosa...ila njia za kuachana ziangaliwe kwa umakini (kupunguza madhara).

Siku ukitata kunipiga kibuti hata utumie busara gana sitokuelewa hakyanani
 
Si unajua nyie wanawake mna tabia ya kutambiana ooh nina buzi lina handle kila kitu sijui kodi, usafiri mpaka wazazi kule killeji yeye anamaliza sasa fikiria jamaa ndo anaondoa hisa zake na anahamishia kwa Bi.Mwanakombo lazima uwewuke tu

Hahhahahaaa lol
 
Back
Top Bottom