Tujifunze kuficha siri za majumbani mwetu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
wanandoa,wanafamilia,
Ndoa nyingi zinahangaishwa na uwazi wa mambo ya ndani ya familia
wapo wengi wanaoshindwa kutunza siri za majumbani mwao bila kujua madhara yake....hili linahusishwa wanaume kwa wanwake...lakini ndugu zetu wa kike wengi wamekuwa wakitoa siri za ndani kwa minajili ya kupata msaada wa ndoa...hakuna atakaekusaidia kwa kutoa siri za matatizo yenu ya ndani
leo hii anza kujifunza kutatua matatizo yenu wenyewe kwanza kabla ya kuamua kuyatoa nje..si kweli wote wanashindwa kufanikiwa kuwa na amani wakikaa wenyewe;tatizo moja nimeliona familia nyingi wanandoa wanaogopana..na hili limefanya communication kuwa mgogoro na hivyo kuleta madhara kama haya ya kushindwa kukaa chini na kumaliza matatizo....
Wapo wanaoamini mwenzangu nikimsema kwa mtu fulani atabadilika..huyo abadiliki ndugu amezaliwa na baba na mama yake tofauti na wewe,....lazima mjue kila mtu anakuwa na tabia tofauti mnapokutana mnashare matatizo kwanza then inafwata starehe.....,swala la maana ndugu zanguni tujifunze kuficha siri zetu...usikubali kama mwanandoa ukimbilie kwa wazazi kisa mwenzio kukunyima unyumba siku tatu...anza kumwambia unategemea nini...mpenzi...mpe siku.......nawatakia maisha mema
kila la kheri
 
huyo wako wa maisha !!!!!!kila alichokiunganisha MUNGU binadamu awwezi kukitenganisha/labda kukiachanisha
 
Mama mia, you have made my day!!! This is a very important thread kuboresha mahusiano and the importance of relationships confidence

Thanks alot
 
Kuna siri nyingine ngumu kuficha, anyway ngoja niingie ndoani nione.
 
asante sana mama mia kwa kutukumbusha hili ni muhimu sana matatizo ndani ya nyumba yaishie ndani ya nyumba katika kuyasolve
kwanza dunia ya leo ukimwambia rafiki/jirani matatizo yako anapata mwanya wa kukucheka
na pia sometimez inachangia kuvunja mahusiano hasa kwa ushauri tofauti tofauti utakaokutana nao
 
Ni kitu ya muhimu sana hii umetukumbusha.

Kwa mi binafsi niko makini sana na jambo hili...
Mwanamke usipomfinya kidogo kila kitu cha chumbani kinaenda kwao...

We unashangaa tu unaenda kuwasalimia watu wanaku`enjoy tu!
 
huyo wako wa maisha !!!!!!kila alichokiunganisha MUNGU binadamu awwezi kukitenganisha/labda kukiachanisha

Avatar yako MA'100, una maana gani??????????????????? au ni ule msemo usemao wembamba wa reli????????????????????Otherwise your thread is very impressive
 
Kuna siri nyingine ngumu kuficha, anyway ngoja niingie ndoani nione.

well said... kuna watu na watu wa kuwaeleza shida zako za ndani, sio ile marafiki cjui watu wa karibu na mume/mke wako, mie kama kuna mtu anaejua lyfe yangu ya ndoa in/out ni mama, kweli cwezi kumficha na amenisadia sana kwenye mambo yangu ya familia, hayo mambo ya kunyimana unyumba hayo ni ya wawili huyu wa3 hatatatua tatizo kamwe.
 
Kitu muhmu sana hicho, wanawake wengi utakuta anajidai eti ana shost yake anamwambia kila kitu, kumbe mara nyingi yule shost yake na yeye ana rafiki mwingine akienda huko wanaenda kucheka na kuyasambaza maneno. mie nilisha mwambia wife kuhusu hilo jambo nashukuru hana mambo ya mashost kama hao
 
asante sana mama mia kwa kutukumbusha hili ni muhimu sana matatizo ndani ya nyumba yaishie ndani ya nyumba katika kuyasolve
kwanza dunia ya leo ukimwambia rafiki/jirani matatizo yako anapata mwanya wa kukucheka
na pia sometimez inachangia kuvunja mahusiano hasa kwa ushauri tofauti tofauti utakaokutana nao

mmh kuna mengine magumu yanahitaji msaada wa mawazo kwa upande wa pili, ndio hapo watu wanapokosea na kwenda kumweleza jirani/frnd...
 
Kuna siri nyingine ngumu kuficha, anyway ngoja niingie ndoani nione.

Pretty mbona unatuchanganya sana. Kuna wakati unasema umeolewa sasa hapa unasema ngoja uingie ndoani uone. Which is which? Ntaanza kukutilia mashaka huenda wewe ni HE!
 
Big up mama miaaaaa.....kwa kweli hiyo imekuwa big issue kwenye ndoa zoteee..hasa hizi za vijana wa sikuhizi....issue yoyote mnayoongea au mnayopanga kufanya kama family kesho hiyoooo mara kwa shosti wake mara kwa mama mkwe....unashindwa kujua nini cha kumfanya mwenzio ndo huyo siri kaiweka barazani....ila kina mama mmezidi sana katika hili....

achilia mbali hao wanaoyasema ya chumbani..duuh..balaa..sasa wewe mtoto wa kike uje kunilalamikia mie kuwa rafiki yangu hakupi menu ya usiki watakani weye?...au ndio mitego kwa sie shemejio???

ndoa ni mkataba wa wawili kuishi pamoja kwa shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe...shirikisho la mtu wa 3 ni kuharibu ndoa..
 
mmh kuna mengine magumu yanahitaji msaada wa mawazo kwa upande wa pili, ndio hapo watu wanapokosea na kwenda kumweleza jirani/frnd...

Heshima kwako Nyamayao.

Nakubaliana na wewe kabisa kuna mambo mengine kukaa kimya huwezi hata kidogo.Kuna binti tulisomanae ndoa yake ilivunjika miaka minne iliyopita nilipomuuliza sababu akaniambia aliyekuwa mumewe alikuwa anapenda kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile !!!!!!
.
 
nakuunga kiuno mama mia!
lakini hiyo avata yako ina maana gani, mbona natamani niwe kwa mbele kule nione vizuri kuna nini!! teh teh. jokin
 
Heshima kwako Nyamayao.

Nakubaliana na wewe kabisa kuna mambo mengine kukaa kimya huwezi hata kidogo.Kuna binti tulisomanae ndoa yake ilivunjika miaka minne iliyopita nilipomuuliza sababu akaniambia aliyekuwa mumewe alikuwa anapenda kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile !!!!!!
.

kwa hyo alishamfanyaaaa, baadaye akachoka. mh namashaka na yeye sasa hv anawashwa washwa (jokin!). hapo dawa haikuwa kuachana, ilikuwa kuongea na mumewe tu, ila mwanaume naye ukimnyima sana anaenda kutafuta nje lol!
 
2s8ilas.jpg
 
ni thread muhimu sana katika kuokoa ndoa. nimeshuhudia ndoa kadhaa zilizokuwa na mapenzi, zimejikuta zikianguka na kubomoka kutokana na hii kadhia ya mwanandoa kupeleka mashtaka yake mahala pasipostahiki. tubadilikeni jamani.

quiet
 
Imetulia saaaana darling!!!!
Tatizo ni hawa wandugu zetu wa kiume, wa .com....
sijui ni tabia au maturity,
Hupenda kutoa siri zao nyingi saaaaana kwa wanaowaamini marafiki, na mbaya zaidi wa kike,
Naamini wakikua wataacha....
 
Back
Top Bottom