Tujiandae na Bajeti 2011/12-rejea Bajeti 2010/11

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Maandalizi ya Kikao cha Bunge la Bajeti linaendelea na ni wakati sasa wa kujiridhisha jinsi gani bajeti
iliyopita imekuwa na impact kwa watanzania.
Maswali ya kujiuliza kuhusu bajeti ni:
1.Je,Bajeti inawalenga watanzania kuondoka kwenye lindi la umaskini?
2.Je,bajeti ya safari hii itakuwa sawa na ya mwaka jana?
3.Je,mapato na matumizi yanalingana bila kukopa?au ni bajeti tegemezi mpaka mwisho wa Dunia.
4.Je,watanzania wanaijua misingi ya bajeti?
Nimejaribu kujiuliza maswali haya sipati majibu sahihi kinachonipelekea kuwasilisha kwenye Jukwaa la Great Thinkers
Rejea Bajeti 2010/11
Nawasilisha.
 
Hiyo bajeti itakuwa ni ya kulipa mishahara tu, kuhusu maendeleo tusahau. Hii ni kwa mujibu wa vyanzo vyangu ambavyo vimebainisha hali iliyopo sasa itaendelea kuwepo tusitegemee sana mabadiliko makubwa. Kuhusu kumkomboa mwananchi wa chini hii itabakia historia.
 
Kama ndivyo tutarajie matatizo na mifarakano kuongezeka sababu penye njaa siku zote "amani"hutoweka kupitia dirishani.
 
Back
Top Bottom