Tuje kuandamana kupinga safari za waziri wa kudumu wa mambo ya nje.

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Nitazitoa picha za maandamano yaliyofanyika nyuma ili kuwapa moyo ndugu zangu wenye uchungu wa nchi hiyo[TANZANIA]Tuache uwoga.siku tulivyoandamana tulipata vibali vyote ,na said mwema wa huku akatupa baraka.Na tulikaa kwenye fensi ya white house na mapango yetu mtaona.PIA KUTAKUWA NA DEBATE KUHUSU HATIMA YA TANZANIA .HII ITARUSHWA NA REDIO WPFW ,RADIO YA DEMOKRASIA ,WASHINGTON DC.LUGHA ITAKUWA KINGEREZA NAOMBA WOTE TUTOE MAONI SIKU HIYO.NITWATAALIFU MAPEMA,MAMBO TUNAYAPIKA.
PIGA SIMU 202 367 2761
Enviromentalist
 
Back
Top Bottom