Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

Sie Yanga tunawashukuru waandalizi kwa kutupa nafasi hii mapema.... tulipanga kulipa kisasi baadae kwenye ligi, ...kwa imepatikana chance hii, mbona watatutambua...tutanyoanyoa sharubu za mnyama zote!

Jangwani tupeni raha huko.
 
Ndio tunaingia Uwanjani (Uwanja Mpya!) - watu wamefurika kweli kweli na hali ya hewa ni nzuri - joto kwa mbali na mawingu madogo madogo. Naangalia jukwa kuu pale naona baadhi ya viongozi wa TFF na Serikali... yeah mandhari ni nzuri kabisa...
 
hahahaaaa, si mchezo!
si tuko mjini hapa, jua kali hadi mifukoni, sijui kwa kinibu au chawote kama kutaendeka kesho!!
MERRY XMAS!!.

mpwa we unawaza chawote tu, ongea game apa tukuelewe....aaaa afu nimekumis kweli kesho twende wote chawote basi???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom